ushauri tafadhali

ushauri tafadhali

barite

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
227
Reaction score
120
habari za muda huu wakuu,
kuna swali ambalo naomba ushuri toka kwenu na swali lenyewe ni!

kuna ndugu yangu amejaliwa kupata mtoto ila ahisi kuna tatizo coz mtoto
akilia kitovu kiakuwa kirefu na kinajaa hewa na akinyamaza kitovu kina sinyaa na ngozi inalala na ukibonyeza kinabonyea
sasa wadau embu nijuzeni sababu ya hili tatizo na madhara yake na matibabu yake

msije na maibu ya kubeza

natanguliza shukrani kwenu
 
Back
Top Bottom