ushauri tafadhari: sijaumwa na njaa kwa miezi sita karibia

ushauri tafadhari: sijaumwa na njaa kwa miezi sita karibia

leo.leo

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
406
Reaction score
214
kifupi ni kwamba ni natatizo la kuto umwa njaa hata nikikaa bila kula masaa 24.Sasa nakula tu kwa sababu nafahamu mtu inabidi ale ili aishi ila kiukweli ,njaa huwa hainiumi.Mwenye uelewa na tatizo hili au ambaye amewahi pitia hali kama hii naomba mnisaidie kutatua hili.
 
Inawezekana wallet yako haipungui laki 7 daily.....
 
Inawezekana wallet yako haipungui laki 7 daily.....
wallet yangu haiko kiivyo,huu ni ugonjwa nahitaji ushauri wa kitabibu na experience kwa aliyepitia hali kama hii
 
Hata mimi nilikuwa hivyohivyo......nikapelekwa Zahanati, Clinic,Dispensary na Hospitali wakanifanyia plastic sajali ya bandama mpk leo njaa kila baada ya dk3
 
Hata mimi nilikuwa hivyohivyo......nikapelekwa Zahanati, Clinic,Dispensary na Hospitali wakanifanyia plastic sajali ya bandama mpk leo njaa kila baada ya dk3
waligundua tatizo ni nini hasa iliyosababisha, na je hakuna tiba mbadala mbali na hiyo uliyofanyiwa?
 
Back
Top Bottom