Miaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa watumiaji wa umeme.
Katika uchunguzi wangu naona TANESCO wanajiendesha kwa gharama kubwa sana katika kuhudumia wateja wake maeneo mbalimbali nchini. Mfano mteja anaweza akawa yupo umbali wa Kilometre 100 kutoka ofisi zilipo na akatoa taarifa kuwa hana umeme. TANESCO wataenda kumhudumia na ajabu wanaenda kukuta ni Circuit Breaker tu imetrip. Hapo go and return umeenda 200km. Kwa gari yenye burning rate ya 5kms/l maana yake hapo umetumia litre 40. Let say litre 1 ni Tsh 2000. Maana yake umetumia Tsh 80,000/= kwenda kumhudumia mteja tena wa Tariff 0 ambaye maximum ananunua umeme wa Tsh 9000 kwa mwezi. Hapo nimepigia mteja mmoja wa direction moja na pia gharama za wear and tear za gari hazijapigwa, gharama za kusogeza odometer karibu na service hazijapigwa. Sasa katika hili jaribu kuzidisha na magari yote Tanzania uone gharama zake. Hii kwangu mimi inachelewesha maendeleo kwa TANESCO hata kama wanapata faida.
Wazo langu ni kuwa TANESCO wa charge angalau Tsh 1000/= kwa mwezi kama mamlaka nyingine zinavyofanya. Naamini idadi ya wateja wa TANESCO wanaweza kuwa zaidi ya 2m. Maana yake hapo TANESCO wanaweza kupata zaidi ya Tsh. 2B kwa mwezi na zikasaidia kwenye mambo yafuatayo.
a) Kuboresha huduma kwa kuongeza idadi ya magari na wafanyakazi ili kuhudumia wateja ipasavyo.
b) Kupata fedha za kupeleka umeme maeneo ya kimkakati hasa viongozi wa kitaifa wanapoagiza.
c) Kuboresha hali ya umeme maeneo ambayo umeme sio mzuri sana.
d) Kupata fungu la kuhakikisha miundo mbinu chakavu inafanyiwa kazi na kupata reliable power supply.
e) n.k.
Najua hapa nitashambuliwa sana lakini lengo ni kujenga nchi na si vinginevyo.
Nawasilisha.
umefanya field kwenye masaburi yakoHapana. Nimewahi kufanya field tu nikajua hayo.
Sure jamaa atakua anagombea remote na house girl nyumbani kwa shemeji yakeWatu kula kulala kwa shemeji mna tabu sana
Umefanya field ukaona ujipendekeze ili wakuajiriHapana. Nimewahi kufanya field tu nikajua hayo.
KmmkMiaka ya nyuma kidogo TANESCO walikuwa wana charge Tsh. 7,000/= kwa mwezi kama Service Charge kwa wateja wake. Lakini ilikuja kufutwa kwakuwa ilionekana ni mzigo kwa watumiaji wa umeme hasa wale wa Tariff 1 na Tariff 0 kwakuwa ndio wateja zaidi ya 90% ya wateja wote wa TANESCO. Hii nikiri kwamba ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa watumiaji wa umeme.
Katika uchunguzi wangu naona TANESCO wanajiendesha kwa gharama kubwa sana katika kuhudumia wateja wake maeneo mbalimbali nchini. Mfano mteja anaweza akawa yupo umbali wa Kilometre 100 kutoka ofisi zilipo na akatoa taarifa kuwa hana umeme. TANESCO wataenda kumhudumia na ajabu wanaenda kukuta ni Circuit Breaker tu imetrip. Hapo go and return umeenda 200km. Kwa gari yenye burning rate ya 5kms/l maana yake hapo umetumia litre 40. Let say litre 1 ni Tsh 2000. Maana yake umetumia Tsh 80,000/= kwenda kumhudumia mteja tena wa Tariff 0 ambaye maximum ananunua umeme wa Tsh 9000 kwa mwezi. Hapo nimepigia mteja mmoja wa direction moja na pia gharama za wear and tear za gari hazijapigwa, gharama za kusogeza odometer karibu na service hazijapigwa. Sasa katika hili jaribu kuzidisha na magari yote Tanzania uone gharama zake. Hii kwangu mimi inachelewesha maendeleo kwa TANESCO hata kama wanapata faida.
Wazo langu ni kuwa TANESCO wa charge angalau Tsh 1000/= kwa mwezi kama mamlaka nyingine zinavyofanya. Naamini idadi ya wateja wa TANESCO wanaweza kuwa zaidi ya 2m. Maana yake hapo TANESCO wanaweza kupata zaidi ya Tsh. 2B kwa mwezi na zikasaidia kwenye mambo yafuatayo.
a) Kuboresha huduma kwa kuongeza idadi ya magari na wafanyakazi ili kuhudumia wateja ipasavyo.
b) Kupata fedha za kupeleka umeme maeneo ya kimkakati hasa viongozi wa kitaifa wanapoagiza.
c) Kuboresha hali ya umeme maeneo ambayo umeme sio mzuri sana.
d) Kupata fungu la kuhakikisha miundo mbinu chakavu inafanyiwa kazi na kupata reliable power supply.
e) n.k.
Najua hapa nitashambuliwa sana lakini lengo ni kujenga nchi na si vinginevyo.
Nawasilisha.
Hao wafanyakazi watawalipa nini mku ?.Hongera kwa mada ila nakushauri Rudi field wakuambie ukweli.
Moja..tanesko wana matatizo ya kiusimamizi zaidi kuliko matatizo ya kupewa.
Pili kaangalie au wakuonyeshe maslah wanayopewa na output washukuru wao wana pelekwa na magari watumishi wengine wanajilipia nauli.
Mtazamo wangu
Kuongeza gharama za umeme kwa namna yoyote kutaongeza gharama za maisha na uzalishaji na kupandisha mfumuko wa bei. Hivyo gharama za uzalishaji kuwa juu kuliko washindaniwa kibiashara hivyo kuna kadhaa kadhaa kama vile
Wezi wa umeme kuongezeka
Matumizi ya mkaa na mafuta ya taa/petrol kuongezeka(athali mazingira )
Kupunguza kwa watu wako n uhitaji wa umeme..wengi watamua kutumia umeme binafsi au biogas nk.
Ushauri
Waongeze idadi ya sub office ambazo haitakuwa kazi(kujenga kuajili ni investment cost hata km ni kubwa ila ni fursa kiuchumi na pia kupunguza running expenses na kupanua wigo wa kipato/uchumi .
Wakishindwa Waongeze wafanya kazi na wawe wanakakagua line zao ..line nyingi hazijakaguliwa muda mrefu na manguzo mengi mabovu hiyo ya main switch ya nyumba ya mtu ni 0.0000000001%, ya matatizo halisi
Waambie watoe matope kwenye mabwawa na kufanya service mitambo yao kwa wakati na kwa viwango.
Waambie Wapitie ramani zao za line na kuboresha kilicho field na kilicho kwenye management ni tofauti line zingine zina mzigo mkubwa au mdogo mno kuliko uwezo wake /Km ilivyo kwenye makabrasha.
Waambie wakiitwa wasishikize siku mbili tatu ili waitwe wajaze over time wakifika saiti wapige kaz ya uhakika wasirudi Rudi sehem.moja mara kumi kumi.
Mengine nitakuja baadae kujazia.. alisikika chizi mmoja aliporuhusiwa kutoa maoni