Ushauri: TANESCO rudisheni Service Charges

Mkuu,kukubalika kwa post yako tunaangalia likes..je umepata likes ngapi??
 
Nyegezi wewe, kodi ngapi tunalipa huku mitaani?
 
Naomba ujibu hoja. Nilijua nitashambuliwa sana. Juzi juzi hapa mbunge mmoja sikumbuki jina alitoa wazo la kodi fulani alishambuliwa kama nini vile. Lete wazo.
Kwahiyo service charge iliyokuwepo, ilikuwa inakidhi haja ya shida unazozisema? Umeshafanya utafiti kujua kwnn ilifutwa? Nimekushangaa sana bro.
 
Umesikia kuwa tanesco ni wafanya biashara
 
Ukiona hivyo huyu jamaa bado anaishi kwao au kwa shemeji yake

Ova
 
Wewe utakuwa ni mshirikina.
 
Wewe kweli umeshiba ,yaani warudishe service charges kwa mfano wako huo tu mmoja wa kitopolo? Inakuwaje tanesco zaidi ya 200km hawana ofisi? Unajua kitu kinaitwa Subcontractor? Tanesco inatakiwa waimplement subcon ambao wanatoa huduma sehemu ambapo hawapatikani,watakuwa wanawalipa according na fault inayotokea...Hakuna haja ya kutembea km 200 ,ni kumpigia tu subcon wa eneo husika kwenda kurekebisha hiyo circuit breaker iliyotrip.

Service charges ni wizi wa mchana kweupe,REA,EWURA,VAT hayo makato yanatosha msiongeze mengine.
 
Naomba ujibu hoja. Nilijua nitashambuliwa sana. Juzi juzi hapa mbunge mmoja sikumbuki jina alitoa wazo la kodi fulani alishambuliwa kama nini vile. Lete wazo.

Huyo Mbunge Zungu anayesema wananchi wakatwe kodi yeye mwenye mshahara wake haukatwi kodi...angesuggest yeye kwanza waanze kukatwa kodi ndio aje kwa wananchi.
 
Kwa Nini usipendekeze Tanesco na wao walipe umeme bila offer ya punguzo? Kwani wao wamejipunguzia gharama za umeme karibu nusu ya Watu wengine
 
Naomba ujibu hoja. Nilijua nitashambuliwa sana. Juzi juzi hapa mbunge mmoja sikumbuki jina alitoa wazo la kodi fulani alishambuliwa kama nini vile. Lete wazo.
Unaonekana unalishwa na Shemeji anayemnyetua Dada yako. So hujui ugumu wa maisha
 
Acheni huo upuuzi mbweha nyie, unasingizia tariff 0 wakati mnatoza bei za umeme kwa viwango vya juu. Mimi matumizi yangu nyumba ya familia bili ya umeme haipungui elf 50 kwa mwezi utafikiri nina kiwanda cha welding, bullshit!!
 
Vipi waungwana. Naona kodi imeingizwa tayari. Sawa na hichi nilichokisema hapa.
 
Kwa kuwa unapewa RUZUKU inayofanya usitumie mshahara wako, unafanya usahau machungu ya wananchi wa kipato cha chini ambao wanaishi chini ya dola moja. Unasahau kuwa umeme unalipiwa kwa sasa umeongezwa kodi kwa ajili ya kusambaza maeneo ya vijijini (REA) ambapo mwaka huu watamaliza hivyo hiyo hela inaweza kusaidia mambo mengine ya kuboresha
 
Nilitukwana sana humu. Leo yametimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…