Walipeni kwanza.Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.
Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.
Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.
Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
May be tomorrow and not todayNaunga mkono hoja.
Nami hili niliwahi kushauri
Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state - JamiiForums
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali? - JamiiForums
Swali linabaki, can we stand?.
P
Ungeanza wewe mjinga kuliko wote na bango lako kuanzia Lumumba ukikusanya wenzako hadi kwenye balozi hizo mbili mkawaambie waindoke kwa agizo toka juu. Ungekuwa na akili hata kidogo tu kuliko hao unaoshauri waandamane, ungewashauri wanaotakiwa kutoa habari wafunge balozi zetu tatu katika nchi hizo kwanza ili mabeberu nao wafunge zao. Tuna balozi London, Washington na New York, Umoja wa Mataifa. Kuna raia wa nchi hizo mbili nchini wengi zaidi wakifanya shughuli mbalimbali za manufaa kwa taifa letu kuliko watumishi wa balozi hizo ambao unashauri wafukuzwe. Tunasubiri upate uteuzi kwa ushauri wako!Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.
Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.
Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.
Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.
Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
ubabe nao sio mzuri, mataifa hayo uliyotaja Marekani na Uingereza ndiyo wanaotupa misaada mingi na utupa mikopo sasa mtaanzia wapi kuwafukuza, mapato ya ndani hayatoshi kufanya miradi ya maendeleo
Labda ungetupa kwanza mrejesho wabkikao cha Wizara na Balozi wa Marekani cha jana au juzi kisha tuendelee na hili wazo lako la leo.Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.