Ushauri: Tanzania iwafukuze mabalozi wa Marekani na Uingereza kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu

Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.

Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.

Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.

Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
Walipeni kwanza.
 
Nchi haiendeshwi kwa mihemko ivo ndio mana tuna wana Diplomats, Mihemko(emotional) hazijawahi kusolve tatizo zaidi ya kuliongeza
 
Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.

Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.

Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.

Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
Ungeanza wewe mjinga kuliko wote na bango lako kuanzia Lumumba ukikusanya wenzako hadi kwenye balozi hizo mbili mkawaambie waindoke kwa agizo toka juu. Ungekuwa na akili hata kidogo tu kuliko hao unaoshauri waandamane, ungewashauri wanaotakiwa kutoa habari wafunge balozi zetu tatu katika nchi hizo kwanza ili mabeberu nao wafunge zao. Tuna balozi London, Washington na New York, Umoja wa Mataifa. Kuna raia wa nchi hizo mbili nchini wengi zaidi wakifanya shughuli mbalimbali za manufaa kwa taifa letu kuliko watumishi wa balozi hizo ambao unashauri wafukuzwe. Tunasubiri upate uteuzi kwa ushauri wako!
 
ubabe nao sio mzuri, mataifa hayo uliyotaja Marekani na Uingereza ndiyo wanaotupa misaada mingi na utupa mikopo sasa mtaanzia wapi kuwafukuza, mapato ya ndani hayatoshi kufanya miradi ya maendeleo

mnakuwa wapole hadi mnatia huruma
 
Tumeshapoteza 'ramani' tukiwafukuza hao ndio kabisa hata neno ramani tutakuwa hatujui ninini.
 
”Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE”..wewe jamaa ni noma asubuhi saafiii
 
Hicho kitu hakipo mkuu hatuna uwezo huo wa kuwafukuza hali ya kuwa misaada tunategemea kwao, rejea vitu vingi utasikia kwa hisani ya watu wa Marekani.
 
Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa.

Kauli hizi zinaingilia taratibu za nchi yetu, na in tabia za kibeberu na kizandiki.

Dawa in moja tu, wafukuzwe na balozi zao zifungwe kwa muda usiojulikana.

Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
Labda ungetupa kwanza mrejesho wabkikao cha Wizara na Balozi wa Marekani cha jana au juzi kisha tuendelee na hili wazo lako la leo.
 
Muanzishaji topic na commentators wote ni kundi mbowe at work.

Wamarekani wanafiki tupu mzee kawaumbua vinaya
 
CCM damu mimi,nyie ndio mnaokotwa kwenye vyama pinzani, watoto wa kijakazi
 
Nashauri UVCCM kwa kushirikiana na MATEGE wafanye maandamano ya amani kwenda kwenye balozi hizo wakiwa na mabango yenye laana dhidi ya mabeberu hawa.
[emoji44][emoji44][emoji44]ni nani huyo MATEGE?

Jr[emoji769]
 
WAfukuzeni tu alaf tuone kama hamjajifukuzisha wenyewe..tajiri hanuniwi weye
 
Ikiwezekana wakamatwe tutangaze rasmi vita na mabeberu
 
Back
Top Bottom