wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Wewe ni mpumbavu sana, kwahiyo kama reli itafika kwa kuchelewa kigoma ndio tusijenge?
Tangu SGR ianze kujengwa mpk leo iko tu hapo Moro na yenyewe imekamilika kwa 70% tu.Kufika Mwanza itafika lini?
Je,hilo suala la kujenga reli kufika Burundi au Drc kwa sasa hivi huoni ni ndoto za mchana kabisa?Burundi ambayo imeshindwa kuchangia hata uanachama wake(Membership fee) kwenye EAC ikisema yenyewe ni nchi ndogo haina uwezo wa kuchangia sawa na nchi kubwa ndio itaweza kuchangia ujenzi wa Reli?Impossible
Tuwe na plan halisi na sio za kujifurahisha tu.