Ushauri: Tatizo sio kibamia kama anajua kukitumia

Ushauri: Tatizo sio kibamia kama anajua kukitumia

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Leo nimekumbuka kitu changu fulani hivi na kila nimekumbuka nacheka tu, kuna njemba mmoja miaka ya ujana wangu (uhengani) alinipenda akashoboka sijui na jinsi nilivyo chee akaanza usungura namkataa anazidisha spidi.

Waswahili wanasema mtoto akililia wembe mpee mimi nilishamwona kuwa huyu hatuendani nikaamua kumwonyesha kwa vitendo.

Jamaa alikolea mbaya kwangu tukaanza safari za I love u I love u tukaamua kukutana kimwili nikaanza kumpiga sechi najidai nimekolea kumbe namkagua kufungua zipu doooh sheedah! Mimi nikijiangalia msambwanda nikaaga nipo kwa period tumbo lauma.

Nikamkimbiaa, akanitafuta kaniulizia kanichunguza mpaka kaja kujua kwa wazee akajifanya rafiki na mama yangu alipoona anafaa kwetu akaja na mshenga kulipia mahari. Siku ya mahari naulizwa unamjua nikakataa simjui nikaulizwa mara 5 nikakataa basi mshenga akasepa.

Mama akaniuliza siku za mbeleni wewe mbona ulimkataa yule kijana mzuri mcheshi anakupenda anajitahidi kwenye maisha atakuja kuwa baba mzuri baadae kwanini?

Money Penny: Mama umeniangalia vizuri lakini? Si umeona kazi ya Mungu juu ya mwili wangu? Sasa yule kijana wako ana dyu dyu fupi remote ya Dstv itasubiria mmi nampeleka wap!

Kuliko kujidai nitavumilia bora nusu shari kuliko shari kamili.

Mama: akachoka ikabidi acheke akaniambia tatizo sio ufupi tatizo ni je anajua kuitumiaa?

Inshort hakunioa lakini dah je ningeingia ndani nikakuta remote hajui kuitumia ningefanyaje?

Eti wewe ungepewa remote ndogo ya Dstv (kibamia) ungekubali kuolewa?
 
Dildo zimeshawaharibu nyuchi nyie wanawake wa siku hizi, ili kutetea bwawa lako mnaita dudu zetu vibamia, remote ya DSTV ndogo!!??
Mungu anawaona....
 
Sampuli hii ya wanawake ni hatari sana kutokea ulimwenguni.

Unaweza dhani unakatisha bahari ya Hindi.

Ni mwendo wa pwaah pwaaah pwaaaaah!!!!
 
Back
Top Bottom