Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
interms of gharama tofali za kuchoma zipo cheap. hofu yangu gharama ndogo isisababishe nyumba isiwe imaraHata za blocks zinakuwa imara. Jibu lako linategemea other factors kufikia maamuzi.
unazungumzia kemikali zipi?maana hata udongo una kemicalsNinaamini za kuchoma ni imara zaidi kwakuwa hazina mchanganyiko wa kemilkali zozote...
interms of gharama tofali za kuchoma zipo cheap. hofu yangu gharama ndogo isisababishe nyumba isiwe imara
nahitaji uimara wa nyumba
Za block ukikutana na zile hazijawekewa ratio nzuri ya cement utalia nakuambia,yani huwa zinapukutika nyumba itapata nyufa hapo mbeleni, uwe makini na sehemu unaponunua hizo za block kujua ratio ya cement kwa uimara wa tofalisalaam wadau!
ningependa kupata ufafanuzi na ushauri kabla sijafanya maamuzi. Nipo kwenye harakati za kuanza kujenga, ningependa kupata ushauri kuhusu tofali.
Ninaishi moshi mjini na nategemea kuanza ujenzi sooon. je ni tofali zipi imara kati ya tofali za kuchoma na tofali za block?
ushaur wenu wadau tafadhali
Tatizo unasahau kuwa tofali za block wengi wanapunja ratio ya cement hawa suppliers, na kama unavyoona cement inapanda bei kila siku unategemea mfanyabiashara wa T blocks hatapunja cement usiwe na dhana ya kukariri uwe unafanya kautafiti kwanzaNashangaa sana kusikia tofali za kuchoma ETI ni imara kuliko za block ? ? nasema wazi haiwezekani kabisa, Labda na tena kwa mashaka mseme UKUTA wa matofali ya kuchoma sbb ya either double layer or kulaza tofali ILI uwe mpana kuliko ule UKUTA wa block , kwa maana hiyo yawezekana UKUTA wa T za kuchoma waweza kuwa imara kuliko UKUTA wa block tofali za inch 5 or 4 za kusimamisha.
NB; UIMARA wa tofali pekee waweza kuwa sio uimara wa nyumba na kuta zake,
Kama lengo ni nyumba Imara waone wataalam wakushauri vizuri.
unajenga moshi sehemu gani? na ni nyumba ya vyumba vingapi?
wapo jamaa wanajenga na kufytua tofali zinaitwa interlock blocks.
Moshi msaranga mkuu. bei ya hiz inter lock blocks ni sh ngap? zinapatikana maeneo gan?
ok msaranga............................ yupo jamaa anaziuza hizo tofali moja sh 500 na anajenga pia yeye yupo dar na moshi huwa anafikaga, simu yake ni 0716023456 mfano nyumba ya vyumba 3 tofali 7000 mcheki insta interlocking blockingMoshi msaranga mkuu. bei ya hiz inter lock blocks ni sh ngap? zinapatikana maeneo gan?