Ushauri: Tofali za Kuchoma Vs Tofali za block

Kaka tofali ya block ndio tofali.
Hii tofali ya kuchoma aisee haichelewi ku disintegrate mkuu.Nina bibi yangu yupo moro alijenga banda la uwan kwa tofali ya kuchoma ukimumunyua kwa mkono tu inatoka na km una shem wangu mama kijacho hapo keshapatia pa kulia udongo.
Lakin ukipata block ya concrete baba la baba utakaa vema
 
viwanja vipo mkuu! sema bei ndio hatari si unajua wachaga na ardhi tena? kuanzia M 6 mpaka 8. watu wamekimbilia sango maana bei kidogo iko cheap, ngoja nichek na wadau mkuu, utapata
mkuu natafuta kiwanja msaranga, bonite au sango mbele ya kiboloroni nitapata kweli na bei zake vipi ni nyumba ya vyumba 3 ya makazi najenga, niko moshi mkuu emu nicheki pm
 
mimi nipo hapa kwa alphonce barabara ya kushuka msaranga ofisi za kata maeneo ya msufini
mkuu natafuta kiwanja msaranga, bonite au sango mbele ya kiboloroni nitapata kweli na bei zake vipi ni nyumba ya vyumba 3 ya makazi najenga, niko moshi mkuu emu nicheki pm
 
ok msaranga............................ yupo jamaa anaziuza hizo tofali moja sh 500 na anajenga pia yeye yupo dar na moshi huwa anafikaga, simu yake ni 0716023456 mfano nyumba ya vyumba 3 tofali 7000 mcheki insta interlocking blocking
ngoja nitachek nae mzee baba
 
viwanja vipo mkuu! sema bei ndio hatari si unajua wachaga na ardhi tena? kuanzia M 6 mpaka 8. watu wamekimbilia sango maana bei kidogo iko cheap, ngoja nichek na wadau mkuu, utapata
sawa mkuu mi siyo kwamba sina pakujenga mkuu ila nataka ninunue mbali na kibosho home hahaha
 
ikichomwa vizur haimomonyoki kabisa.
 
mcheki anahuduma mpaka ya kujenga hadi kupaua
 
mimi nipo hapa kwa alphonce barabara ya kushuka msaranga ofisi za kata maeneo ya msufini
kwa alphonce karibu na kwa ndesa.........viwanja moshi ni shughuli na kuishi pasua, majengo, njoro sjui chekereni kwangu ni mwiko
 
Kuhusu ubora inategemeana hiyo tofali imetengenezwaje, kuhitimisha kwa mfano mmoja haitoshi.
 
Kweli kaka.
Lakini bhana ukipata tofali ya block iliyotengenezwa na cement ya kutosha pamoja na concrete ni imara kaka huwez fananisha na ya kuchoma.

Hata za kuchoma hutegemea aina ya udongo na uchomaji pia kaka.
 
Hakika,sasa mfano kiwanja chenye asili ya maji chumvi ,hakuna tofali litakalofanya nyumba iwe imara, ni utaalamu na kufuata kanuni za ujenzi wa nyumba bora kukingana na eneo husika,awaone wataalam ( na mimi niko sekta hiyo)
 
Sio kweli,tofali za kuchoma hasa ikijengea udongo zinakula cement vibaya sana, tofali za block ,ukinyoosha nyumba ikatoka poa, utateleza tu na plasta yako hata ukiwa usingizini,hautatumiia cement nyingi,
 
Ni changamoto tu,ukitaka kujua ratio nzuri au mbaya litupe tofali moja kwa nguvu chini,likivunjika inatakiwa litoe vipande viwili tu, yenye ratio ya kihuni ukilitupa chini linavunjika lote hovyohovyo.
Tatizo unasahau kuwa tofali za block wengi wanapunja ratio ya cement hawa suppliers, na kama unavyoona cement inapanda bei kila siku unategemea mfanyabiashara wa T blocks hatapunja cement usiwe na dhana ya kukariri uwe unafanya kautafiti kwanza
 
interms of gharama tofali za kuchoma zipo cheap. hofu yangu gharama ndogo isisababishe nyumba isiwe imara
nahitaji uimara wa nyumba
Katika uimara wa nyumba tofali zina mchango mdogo sana.

Uimara wa nyumba unatemea vitu hivi...

1. Ubora wa msingi.

2. Ubora wa columns.

3. Ubora wa beams.

Pamoja na mix ratio ya zege na jinsi ulivyo mwagilia zege lako wakati una jenga.
 
Kwa nyumba ndg za kawaida paa la bati la para manne kawaida,
Msingi na Beams zinaeleweka, Swali langu ni Columns zake zinakwa wapi au ni nini Pale ? na hasa kama haina slab au canop yeyote ?
 
Za kuchoma kuwa imara zaidi nakumbuka wakati tunapiga range tulijaribisha uwezo wa risasi kupenya kwenye kuta ambayo imejengewa na tofari la kuchoma then tukaja la cement matokeo yake la cement lilifail dhidi ya la kuchoma.
 
asante kwa ushauri
Hakika,sasa mfano kiwanja chenye asili ya maji chumvi ,hakuna tofali litakalofanya nyumba iwe imara, ni utaalamu na kufuata kanuni za ujenzi wa nyumba bora kukingana na eneo husika,awaone wataalam ( na mimi niko sekta hiyo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…