Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Kaka tofali ya block ndio tofali.salaam wadau!
ningependa kupata ufafanuzi na ushauri kabla sijafanya maamuzi. Nipo kwenye harakati za kuanza kujenga, ningependa kupata ushauri kuhusu tofali.
Ninaishi moshi mjini na nategemea kuanza ujenzi sooon. je ni tofali zipi imara kati ya tofali za kuchoma na tofali za block?
ushaur wenu wadau tafadhali
Hii tofali ya kuchoma aisee haichelewi ku disintegrate mkuu.Nina bibi yangu yupo moro alijenga banda la uwan kwa tofali ya kuchoma ukimumunyua kwa mkono tu inatoka na km una shem wangu mama kijacho hapo keshapatia pa kulia udongo.
Lakin ukipata block ya concrete baba la baba utakaa vema