Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
- Thread starter
-
- #41
hahaha hii testing nimeipendaZa kuchoma kuwa imara zaidi nakumbuka wakati tunapiga range tulijaribisha uwezo wa risasi kupenya kwenye kuta ambayo imejengewa na tofari la kuchoma then tukaja la cement matokeo yake la cement lilifail dhidi ya la kuchoma.
"paa la bati la para manne" sijaelewa hapo mkuuKwa nyumba ndg za kawaida paa la bati la para manne kawaida,
Msingi na Beams zinaeleweka, Swali langu ni Columns zake zinakwa wapi au ni nini Pale ? na hasa kama haina slab au canop yeyote ?
Nimeongelea general nikimaanisha any structure, ila kama ni nyumba ndogo haiitaji sana columns ila nyumba kama hii itategemea sana uimara wa msingi, beams na hali ya udongo.
hahaha hii testing nimeipenda
Wanayaita MAPARA MANNE yaani "four sided roof""paa la bati la para manne" sijaelewa hapo mkuu
ni nyumba ndogo ya kawaida. room tatu za kulala plus jiko,sebule,dining na vyoo
Wakati nachimbia conduct pipe wakitundua yani zile tofali zinapukutika yani hawa jamaa hawana huruma anakuuzia tofali ya block hazina ubora... Nimekuja gundua ni heri za kuchomaNi changamoto tu,ukitaka kujua ratio nzuri au mbaya litupe tofali moja kwa nguvu chini,likivunjika inatakiwa litoe vipande viwili tu, yenye ratio ya kihuni ukilitupa chini linavunjika lote hovyohovyo.
[emoji16] [emoji16] Vyumba vitatu ni nyumba ndogo hahaha huyu jamaaSio nyumba ndogo hiyo mkuu
Kabisa mkuuWakati nachimbia conduct pipe wakitundua yani zile tofali zinapukutika yani hawa jamaa hawana huruma anakuuzia tofali ya block hazina ubora... Nimekuja gundua ni heri za kuchoma
Nashangaa sana kusikia tofali za kuchoma ETI ni imara kuliko za block ? ? nasema wazi haiwezekani kabisa, Labda na tena kwa mashaka mseme UKUTA wa matofali ya kuchoma sbb ya either double layer or kulaza tofali ILI uwe mpana kuliko ule UKUTA wa block , kwa maana hiyo yawezekana UKUTA wa T za kuchoma waweza kuwa imara kuliko UKUTA wa block tofali za inch 5 or 4 za kusimamisha.
NB; UIMARA wa tofali pekee waweza kuwa sio uimara wa nyumba na kuta zake,
Kama lengo ni nyumba Imara waone wataalam wakushauri vizuri.