profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
ndiyo mkuu,nakaa chanika nafanya shughuli kibaha kwa mathias,kuna shoti kati ya pugu kona unaenda tokeza mbezi kifuru,ndo kipande cha rafu rodi,ambayo ni km 90 kwenda na kurudi,ila nikipitia njia panda segerea hapo banana,zinafika 110kmYaani kwako hd kazini ni km 110 duh pole sana inamaanisha utatumia lita 10 hadi 8 za mafuta kila siku aisee
Anyway kwa kua ni off road corona is the best kwa sababu ina body gumu go for. It
Inaweza kula mafuta kidogo kuliko corolla 1300cc au kile ki Premio cha old model au carina TI cc 1490.Chukua Allex au Run X ya cc 1490 1NZ-FE. Hii gari ata ukiweka Korie badala ya engine oil inatembea. Mjapan hapo alitengeneza engine aisee. Hafu ukaji wa mafuta mzuri sana. Unaweza gusa 14km/L rough road na ikafika 18-20km/L highway.
Mkuu mbona kawaida sana.Kila siku utembee kilmt 110 HV unamdanganya Nani na kwa faida gani mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kawaida tu.Kila siku utembee kilmt 110 HV unamdanganya Nani na kwa faida gani mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Prius pia inamudu rough roadChukua gari hybrid ambayo inatembea 30 km kwa lita kuliko magari ya kizamani. Chukua toyota prius inaenda km 32 kwa lita. Na bei yake ni around 15 hadi 18 milkwa kilomita zako hizo utashangaa unatumia lita 4 tu za mafuta ambayo ni around elf 10
Utasikia mengi sana, lakini shika hili la dereva mkongwe na mmiliki wa hizo gari, nunua Carina yenye 1490ccwakuu njiya yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi,kipato changu cha kawaida,safari ya ngu kwenda na kurudi home ni km 110,kati ya hizo,corona,carina ti na allex nichukue ipi,kipimo ni,uvumilivu rafu rodi,ulaji kidogo mafuta,uimara wa gari,upatikanaji spea,,,msaada wakuu.
kuna run x ya cc 1490 mkuu?Chukua Allex au Run X ya cc 1490 1NZ-FE. Hii gari ata ukiweka Korie badala ya engine oil inatembea. Mjapan hapo alitengeneza engine aisee. Hafu ukaji wa mafuta mzuri sana. Unaweza gusa 14km/L rough road na ikafika 18-20km/L highway.
manual hapana mkuu.Inaweza kula mafuta kidogo kuliko corolla 1300cc au kile ki Premio cha old model au carina TI cc 1490.
Tena ukute ni manual.
we jamaa una matatizo sana,hata kwenye uzi wa umughaka ulileta shida sana,mimi sikujibu,naomba unishauri kutokana na ombi langu hapo.Kila siku utembee kilmt 110 HV unamdanganya Nani na kwa faida gani mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app