Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ti na allex 1490 ipi chuma mkuuUtasikia mengi sana, lakini shika hili la dereva mkongwe na mmiliki wa hizo gari, nunua Carina yenye 1490cc
Over
Manual ndio gari unaweza ku regulate mafuta vizuri.manual hapana mkuu.
Ana stress zake huyowe jamaa una matatizo sana,hata kwenye uzi wa umughaka ulileta shida sana,mimi sikujibu,naomba unishauri kutokana na ombi langu hapo.
Watu wa mkoani hamuwezi kuelewa hii kitu.Kila siku utembee kilmt 110 HV unamdanganya Nani na kwa faida gani mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kwa nini useme wa mkoani kwan nyinyi huko hakuna vilaz wasioelewa bloodWatu wa mkoani hamuwezi kuelewa hii kitu.
Wako wengi kishenzi mkuu,mi mwenyewe Ni wa huko bushinabulandi mkuu.Kwa nini useme wa mkoani kwan nyinyi huko hakuna vilaz wasioelewa blood
Bagamoyo kubwa sana ungesema bagamoyo Ipi ? Mapinga, kerege, zinga, kiromo, ukuni nkKawaida tu.
Kuna mtu anakaa Arusha anafanya kazi Moshi, kila siku kasoro jpili anangurumisha Harrier tako la nyani kwenda na kurudi.
Na mwingine anakaa Bagamoyo anafanya kazi UDSM kila siku anaenda na kurudi.
Old engines siyo efficient kwenye nguvu na ulaji wa mafuta.Inaweza kula mafuta kidogo kuliko corolla 1300cc au kile ki Premio cha old model au carina TI cc 1490.
Tena ukute ni manual.
Nyinyi ndio wale wa kutembea speed 20 na gear namba 4?Manual ndio gari unaweza ku regulate mafuta vizuri.
Mkuu maoni yangu sio kwa ubaya, kwa hiyo huna haja ya kunifananisha na mambo ya ajabu.Nyinyi ndio wale wa kutembea speed 20 na gear namba 4?
Huwa nasikitika sana nikiona mtu anajisifia hili.
Me sijakufannaisha na chochote hapo, zaidi ya kuuliza swali na kusema tu huwa nasikitika.Mkuu maoni yangu sio kwa ubaya, kwa hiyo huna haja ya kunifananisha na mambo ya ajabu.
Mshaurini vizuri..watu wajue ulaji wa mafuta upo very subjective to so many factors ie..
1. technology ya gari (mfano unetaja magari hapo sijui carina, Corolla, hizi gari tech ya zaman hazina fuel consumption optimization system kama vvti,valvematic,etc hivo hazipo fuel efficient.. engine zake zina operate at full capacity muda bila kujali circumstances, pia na old timing belts ambazo usipokua mfuatiliaji hukatika na kuleta mabalaa hasa kama engine ni interference engine design),
2. uendeshaji wa dereva,
3. barabara,
4. design ya tair na pressure kwenye tairi.
5. hali ya enjini ya (status ya compression power),
6.plugs, quality ya mafuta,
7. hauling load,
8. amount ya oxygen inayoingia kwa injini na uzima wa MAF(yaan ubora wa air-filter unayotumia na uzima wa mass air flow sensor)
9. weight ya gari husika.
10. design ya gear box (hapa gari zote alizotaja huyu jamaa zinakuta na traditional automatic gear box) but zingekua na CVT transmission maana yake fuel consumption ingekua chini..
11. Ubora wa gear box fluids (kama gari ni automatic)(uzima waclutch kama gari ni ni manual/automatic)
12. Electrical load kwenye gari mfano umeweka mataa (aftermarket lights), mziki mkubwa RMS 2000.. hapa Gari itakua inakula mafuta vizuri tu.
13. Level ya joto la kwenye surrounding..mfano kuendesha gari wakati jua kali/joto kali inafanya intake air iwe hot so hii ina negative impact kwenye air-fuel mixture ratio na kuongeza consumption kidogo.
14.
Kuhusu gari na rough road, issue ni miguu tu ndo itakupa cost ya frequent repair.. that being a case tafuta gar yenye dependent suspension design ndo itakufaa..ie allex/runx hizo Corolla , carina zina multlink suspension ambazo many things can go wrong ba costs za mabush hasa kwa nyuma kutokana na design ya suspension.but dependent suspension ipo na bush mbili tu kwa nyuma na ni very durable and dependable kwenye rough road na hakuna changamoto ya wheel mis-alignment.
But ungekua na idea nzuri ya namna ya ku maintain hybrid car(which is very easy kuliko gari ya kawaida) ngekushauri ununue hybrid car..(mie natumia Toyota Prius) ingekusaidia sana kwenye fuel..but kwakua mafundi wengi huku kwetu hawazijui kuzitengeneza wala hata kuzi diagnosis unaweza jikuta unaichukia kwa ghalama zinazotokana na mis- diagnosis. mfano mtu anaweza nunulishwa betri ya hybrid kumbe tatizo ni battery ya v12 imeisha.. au unakuta kuna corrosion kwenye wire ambazo zinahitaji kusafishwa tu.
hivi mkuu kuna runx ya cc 1500?Mshaurini vizuri..watu wajue ulaji wa mafuta upo very subjective to so many factors ie..

Nakukubali sana jitumirabaminneOld engines siyo efficient kwenye nguvu na ulaji wa mafuta.
Engines za 90s hazifanani kabisa.na.engine.za 2000s.
Prius hawezi bei. Pili, hybrid battery likifa utaimba hallelujah. Tuna mtu limekufa ameagiza. Kununua na kusafirisha $3400Chukua gari hybrid ambayo inatembea 30 km kwa lita kuliko magari ya kizamani. Chukua toyota prius inaenda km 32 kwa lita. Na bei yake ni around 15 hadi 18 milkwa kilomita zako hizo utashangaa unatumia lita 4 tu za mafuta ambayo ni around elf 10