Ushauri: Trafiki watafute mbinu nyingine ya kusimamisha magari wasisimame katikati ya barabara

Ushauri: Trafiki watafute mbinu nyingine ya kusimamisha magari wasisimame katikati ya barabara

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way.

Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na kina HAMZA wa barabarani.
 
Imagine mtu Yuko 150km/h halafu unamnyoshea kimkono chako halafu anastress Kama za Hamza.
 
Maisha yako stressfully,waangalie alternative way wasije "wakahamziwa"
 
waache tu waendelee kukaa.hao ndo wazalendo wanakufa kwa ajili ya nchi yao
 
waige hapo Congo DRC wanatumia robot kuongoza magari​
https://www.theguardian.com/cities/gallery/2015/mar/13/kinshasa-traffic-robots-robocops-in-pictures
congo.jpg
 
Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way.

Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na kina HAMZA wa barabarani.
Neno jema hili.Na katika hali ya kawaida,madereva karibu wote hupata kama hasira ya ghafla hivi pindi wanaponyoshewa ile ishara ya kusimama.sasa kama huyo dereva ana stress zake zingine,ni rahisi kufanya lolote lisilotarajiwa.
 
Kabisa kaka juzi kuna mmoja nimeshuhudia akikimbia hadi kudondoka kwenye mtaro ni baada ya kusimamisha lory maeneo ya kibaha huku amesimama katikati kumbe dereva mwenyewe lilikua lishamshinda..
 
Kabisa kaka juzi kuna mmoja nimeshuhudia akikimbia hadi kudondoka kwenye mtaro ni baada ya kusimamisha lory maeneo ya kibaha huku amesimama katikati kumbe dereva mwenyewe lilikua lishamshinda..
hahahaha Hawa wapuuzi wanajiona immortal kwamba magari yana macho yakiwaona yataogopa na kusimama automatic kumbe wasijue yanaendeshwa na binadamu wenye roho ikiwezekana Ile mbaya kweli kweli!
 
Back
Top Bottom