Barabara!Sure mkuu kujihami ni muhimu tahadhari kabla ya hatari
Neno jema hili.Na katika hali ya kawaida,madereva karibu wote hupata kama hasira ya ghafla hivi pindi wanaponyoshewa ile ishara ya kusimama.sasa kama huyo dereva ana stress zake zingine,ni rahisi kufanya lolote lisilotarajiwa.Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way.
Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na kina HAMZA wa barabarani.
hahahaha Hawa wapuuzi wanajiona immortal kwamba magari yana macho yakiwaona yataogopa na kusimama automatic kumbe wasijue yanaendeshwa na binadamu wenye roho ikiwezekana Ile mbaya kweli kweli!Kabisa kaka juzi kuna mmoja nimeshuhudia akikimbia hadi kudondoka kwenye mtaro ni baada ya kusimamisha lory maeneo ya kibaha huku amesimama katikati kumbe dereva mwenyewe lilikua lishamshinda..