Ushauri tu kwa dada zangu, Seminary na madrasa boy ndio husband material

kamba0719

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
804
Reaction score
1,906
Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote hutimiza ahadi zao (ndoa).

Tatizo dada zangu wengi siku hizi moja akili zenu, zipo kwenye pesa na wahuni (playboys) na sometimes mlivyo wa puuzi unampenda mwanaume kisa anajua kuvaa ,ana six packs,anajua kukojoza, sijui ana swaga, hivi vyote ni upuuzi ,kama atashindwa kutimiza majukumu yake kama mwanaume ya kukupenda wewe na kukutimizia mahitaji yako ya msingi kama mwanamke na mara zote kundi hili ndio limeleta vilio vyingi vya single mother, kwani wamekuwa kama machine za kuzalisha single mother na kuwaacha.

Ukimpata mseminary au kijana wa madrasa mng'ang'anie na umpende kweli kwa ajili ya future yako ya baadae, hayo maswala sijui ya kukojozwa mara kupiga pamba unaweza ukamwelekeza.

Ila kama unataka anayejua kupiga pamba na kukojoza na baadae kukupiga chini baada ya kukuzalisha endelea nae kwani dunia ni yako na maamuzi ni yako.

Usiku mwema.
 
kamba0719 mh sikubaliani na wewe waseminary na madrasa boys wengi tunahitaji kuyajua mapenzi hivyo ni full kuchovyachovya kila panapoita ili tuyajue vyema[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haujanishawishi bado, si ndo hao wanaongoza kwa kulawiti na kuwa mashoga
Wana matukio ya ajabu so, yale ya kushtua jamii,
Wamepoa Sana
Mapoyoyo kunako nanilihii
Wengi wao watoto wa mama
 
Haujanishawishi bado, si ndo hao wanaongoza kwa kulawiti na kuwa mashoga
Wana matukio ya ajabu so, yale ya kushtua jamii,
Wamepoa Sana
Mapoyoyo kunako nanilihii
Wengi wao watoto wa mama
Sijakulazimisha na ndio maana paragraph ya mwisho nika kwambia dunia ni yako na chaguo ni lako kwani maisha ni yako.
 
Naweza kusema kitu nilicho jaribu kukionyesha ni type ya wale vijana waliotulia, wengi wao wanakuwaga wacha Mungu na wengi wao mapenzi yana waumiza sana mpaka kuwacost maisha yao.
 
Sijakulazimisha na ndio maana paragraph ya mwisho nika kwambia dunia ni yako na chaguo ni lako kwani maisha ni yako.
Mada ya ovyo hii kwamba wanaume makini wote walipitia huko?
 
Kun mseminary fulani aliuga mke miaka 2-3 nyuma huko viunga vya kimara...πŸ˜€πŸ˜€
 
Hili suala halijazungumziwa popote kwenye katiba ....katiba iheshimiwe

 
It's better off kuwa playboy kuliko, sababu experience inaonesha Women love roller coaster of emotions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…