Ushauri tu kwa dada zangu, Seminary na madrasa boy ndio husband material

Mada ya ovyo hii kwamba wanaume makini wote walipitia huko?
Okay kama unaiona huu uzi ni wa hovyo sawa,ila huu wimbo wa single mother naona WAHUNI washauzoea na wanawachezesha sana dada zetu.

Mimi nimetoa mtizamo wangu ila neno langu si sheria na rudia tena dunia ni yako na chaguo ni lako.
 
Hamna kitu, mwanaume makini sio mpaka apitie hizo shule
 
Sasa tusipofuata kuweza mapenz tufuate nn mkuu,uchoyo ni hulka ya mtu akiamua kulea analea tu ,asipoamua humlazimishi pia
 
Kuliko hao seminary boys sijui bora hawa hawa wahuni wetu… I stand with them
Naona hizi kelele za kulalamika mnaumia kumbe mnazipenda.
Screenshot_20220707-134613_Chrome.jpg
 
Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote hutimiza ahadi zao (ndoa).

Tatizo dada zangu wengi siku hizi moja akili zenu, zipo kwenye pesa na wahuni (playboys) na sometimes mlivyo wa puuzi unampenda mwanaume kisa anajua kuvaa ,ana six packs,anajua kukojoza, sijui ana swaga, hivi vyote ni upuuzi ,kama atashindwa kutimiza majukumu yake kama mwanaume ya kukupenda wewe na kukutimizia mahitaji yako ya msingi kama mwanamke na mara zote kundi hili ndio limeleta vilio vyingi vya single mother, kwani wamekuwa kama machine za kuzalisha single mother na kuwaacha.

Ukimpata mseminary au kijana wa madrasa mng'ang'anie na umpende kweli kwa ajili ya future yako ya baadae, hayo maswala sijui ya kukojozwa mara kupiga pamba unaweza ukamwelekeza.

Ila kama unataka anayejua kupiga pamba na kukojoza na baadae kukupiga chini baada ya kukuzalisha endelea nae kwani dunia ni yako na maamuzi ni yako.

Usiku mwema.
Tafuta vijana wenye pesa,wanaotafuta pesa,waliojenga maisha kwa kuqjiliww
 
Eti sis waseminari ni husband material!!.......nimecheka😂
 
Hayanaga muongozo, na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Hakuna lolote,,, kaka yang kabisa alisoma ubungo islamic na dini anaijua,,,sahivi ana watoto 3 nje ya ndoa na bado ana vimeo vyake navijua [emoji23][emoji23][emoji23]

Swala kubwa ni sisi wanaume unaweza kuta anakutana na mdada na anajua ni mke wa mtu au ana mtu wake lakini bado linaforce mnyanduo mwish wa sik ndio inakua starter ya mwanamke kukitombexa nje
Jamani jamani, hebu tueleweni kwa mapana maudhui ya mwandishi.
Binafsi nimemwelewa kwamba watu anaowazungumzia Ni wale wenye hofu ya Mungu , ambao wengi wao wanatoka katika makundi hayo mawili aliyoyataja na Bila shaka watakuwepo wengine kutoka makundi asiyoyataja.
Sasa iwapo katika makundi aliyoyataja wapo wachache wasiokuwa na sifa kusudiwa, Ni sawa na kuwepo kenge katika msafara wa mamba. Hii haiwezi kutufanya tuuite msafara wa kenge!
 
Asante kwa kufafanua na kuliweka vizuri, ila ndio hivyo dada zetu hawa helewi yakisha wakuta na kukata tamaa ndipo wanaibuka na kauli mbiu yao "WANAUME WOTE MBWA " kumbe ni ujinga wake mwenyewe ktk aina ya machaguo yake.
 
Ni kweli kabisa mkuu,
Kwa utafiti wangu mdogo, Ni wasichana(niwaite wasichana sababu kwa wengi uharibifu huanzia wakati was usichana) wachache ambao huwa na marriage mentality, wengi wao huwa na pleasure mentality.
Hi ni dhahiri Kutokana na kuwepo kwa kundi kubwa la wasichana walioko kwenye mahusiano pasipo kujua destiny ya hayo mahusiano, na wengi Wala huwa hawaulizi regarding tu kwamba hisia zao zinaguswa.
Hi huwapa wanaume kuamua vyovyote watakavyo kuhusiana na destiny ya mahusiano hayo pasipo kuhukumiwa kihisia, .
 
Hao waseminari ndiyo wanakiwaga wa ovyo kweli kwani mambo wanayajulia ukubwani wakichetuka wanachetuka mbaya
 
Back
Top Bottom