Ushauri tu kwa dada zangu, Seminary na madrasa boy ndio husband material

Mada ya ovyo hii kwamba wanaume makini wote walipitia huko?
Okay kama unaiona huu uzi ni wa hovyo sawa,ila huu wimbo wa single mother naona WAHUNI washauzoea na wanawachezesha sana dada zetu.

Mimi nimetoa mtizamo wangu ila neno langu si sheria na rudia tena dunia ni yako na chaguo ni lako.
 
Hamna kitu, mwanaume makini sio mpaka apitie hizo shule
 
Sasa tusipofuata kuweza mapenz tufuate nn mkuu,uchoyo ni hulka ya mtu akiamua kulea analea tu ,asipoamua humlazimishi pia
 
Tafuta vijana wenye pesa,wanaotafuta pesa,waliojenga maisha kwa kuqjiliww
 
Eti sis waseminari ni husband material!!.......nimecheka😂
 
Hayanaga muongozo, na tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Na wakishazalishwa ndo hivyo tena, ndo hivyo tena!!
 
Jamani jamani, hebu tueleweni kwa mapana maudhui ya mwandishi.
Binafsi nimemwelewa kwamba watu anaowazungumzia Ni wale wenye hofu ya Mungu , ambao wengi wao wanatoka katika makundi hayo mawili aliyoyataja na Bila shaka watakuwepo wengine kutoka makundi asiyoyataja.
Sasa iwapo katika makundi aliyoyataja wapo wachache wasiokuwa na sifa kusudiwa, Ni sawa na kuwepo kenge katika msafara wa mamba. Hii haiwezi kutufanya tuuite msafara wa kenge!
 
Asante kwa kufafanua na kuliweka vizuri, ila ndio hivyo dada zetu hawa helewi yakisha wakuta na kukata tamaa ndipo wanaibuka na kauli mbiu yao "WANAUME WOTE MBWA " kumbe ni ujinga wake mwenyewe ktk aina ya machaguo yake.
 
Ni kweli kabisa mkuu,
Kwa utafiti wangu mdogo, Ni wasichana(niwaite wasichana sababu kwa wengi uharibifu huanzia wakati was usichana) wachache ambao huwa na marriage mentality, wengi wao huwa na pleasure mentality.
Hi ni dhahiri Kutokana na kuwepo kwa kundi kubwa la wasichana walioko kwenye mahusiano pasipo kujua destiny ya hayo mahusiano, na wengi Wala huwa hawaulizi regarding tu kwamba hisia zao zinaguswa.
Hi huwapa wanaume kuamua vyovyote watakavyo kuhusiana na destiny ya mahusiano hayo pasipo kuhukumiwa kihisia, .
 
Aaah wapi

Wakishajua utamu wa mbususu wanakuwaga wazinzi sana hao!!!!!
 
Hao waseminari ndiyo wanakiwaga wa ovyo kweli kwani mambo wanayajulia ukubwani wakichetuka wanachetuka mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…