Unafikiri Rais huwa anataka asifiwe kwa utendaji wake? Mfano Magufuli hakuanza kusifiwa akiwa Rais Magufuli alikuwa na sifa ya uchapakazi tokea akiwa Waziri! Ukiona wengi wanaofanya hivo ni ujinga wao tu! Na kujipendekeza ili kupata cheo lakini pia huyu bwana anasema Magufuli alijifanya Mungu sidhani kama Magufuli akuwa hivo maana pia hata yeye alisema nitakufa!
Sema watu wenye ajungu na wanafiki, wezi na wapiga dili huwa hawataki kiongizi anayesimamia anachokiamini! Ukimsikiliza huyu bwana hana hoja hoja yake eti Magufuli alijifanya Mungu! Ni waulize hata mtaani kwako au hapo Dar kuna watu wanaojifanya kuabudiwa kama wahindi na mabosi huko maofisini?
Huyo jamaa ni mnafiki na utajikuta hana hata cha maana alichofanya! Sasa Samia yupo Madarakani nini cha maana kimeongezeka? Mi naona matatizo ndo mengi zaidi, umeme kukatika ovyo, kupanda kwa bidhaaa, matukio ya mauaji kuongezeka na ufisadi kuongezeka n.k!