Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sifa zinaangamiza, hasa mtu akitaka kuinuliwa kufikia Utukufu.Hao ni wanaCCM wenzako wasaka vyeo
Tudai katiba mpya kwa ajili ya vizazi vyetu vijavyoSifa zinaangamiza, hasa mtu akitaka kuinuliwa kufikia Utukufu.
Kupenda saana nao ni upumbavu na ujinga!Huyu naye mjinga tu! Unaunganisha unganisha maneno tu! Majungu tu ndo unafanyia kazi!
Inaelekea umeguswa.Huyu naye mjinga tu! Unaunganisha unganisha maneno tu! Majungu tu ndo unafanyia kazi!
Ndivyo walivyo wasaka vyeo miaka yote iliyopita, maana wao huwa wanaamini kwamba wakubwa wanapenda sifa kwahiyo ukitaka teuzi jitahidi kumsifu mkulu tu basi umeshamaliza kazi !!! Sifa zikianza kutolewa mpaka Mimi ninayesikiliza naona aibu sasa sijui anayesifiwa huwa anajisikiaje !! Kwa kweli hili ni tatizo kubwa !!CCM wanacheza na udhaifu wa mtu aliye madarakani
Aibu snNdivyo walivyo wasaka vyeo miaka yote iliyopita, maana wao huwa wanaamini kwamba wakubwa wanapenda sifa kwahiyo ukitaka teuzi jitahidi kumsifu mkulu tu basi umeshamaliza kazi !!! Sifa zikianza kutolewa mpaka Mimi ninayesikiliza naona aibu sasa sijui anayesifiwa huwa anajisikiaje !! Kwa kweli hili ni tatizo kubwa !!
Ni kweli inawezekana halikuwa hapendi lakini alifanya nini kudhihirisha alikuwa hapendi? Herode alifanya kosa Kama Hilo. Matendo 12:23-24. Waliomfananisha Herode na Mungu ni wapambe wake sawa,lakini yeye alifanya nini! Alikuwa na uwezo wa kukaripia au kuchukua hatua nyingine yoyote, kule kunyamazia kufuru kama hizo ndio kosa lake.Unafikiri Rais huwa anataka asifiwe kwa utendaji wake? Mfano Magufuli hakuanza kusifiwa akiwa Rais Magufuli alikuwa na sifa ya uchapakazi tokea akiwa Waziri! Ukiona wengi wanaofanya hivo ni ujinga wao tu! Na kujipendekeza ili kupata cheo lakini pia huyu bwana anasema Magufuli alijifanya Mungu sidhani kama Magufuli akuwa hivo maana pia hata yeye alisema nitakufa!
Sema watu wenye ajungu na wanafiki, wezi na wapiga dili huwa hawataki kiongizi anayesimamia anachokiamini! Ukimsikiliza huyu bwana hana hoja hoja yake eti Magufuli alijifanya Mungu! Ni waulize hata mtaani kwako au hapo Dar kuna watu wanaojifanya kuabudiwa kama wahindi na mabosi huko maofisini?
Huyo jamaa ni mnafiki na utajikuta hana hata cha maana alichofanya! Sasa Samia yupo Madarakani nini cha maana kimeongezeka? Mi naona matatizo ndo mengi zaidi, umeme kukatika ovyo, kupanda kwa bidhaaa, matukio ya mauaji kuongezeka na ufisadi kuongezeka n.k!
Kuna wakati Mwalimu Nyerere alikemea, tenz mara mbili.Hiyo ndio hulka ya viongozi wa ccm na wanachama wao! Wanatukuza hadi kumpa sifa mwanadamu badala ya Mungu!
Siku hizi sio Serikali tena bali Raisi!
Raisi atoa mabilioni kujenga visima!
Raisi atoa ajira mamilioni!
Raisi atoa bilioni kwa kila halmashauri
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
mbele ya wanaccm njaa watafanya chochote mradi mkono uende kinywaniView attachment 2119801
Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare.
Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu.
Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru kumfananisha Rais na Mwenyezi Mungu kwa hali yoyote.
Ni ushauri tu.
Mbona yale ya kutokata umeme hayaendelezi?Hii tabia iliasisiwa na Magufuli na yeye anaiendeleza. Ulitakiwa kumkemea hili miaka 6 nyuma.
Magufuli alijifanya Mungu!!!? Mbona alikuwa anawaambia watanzania muombeni Mungu!?Unafikiri Rais huwa anataka asifiwe kwa utendaji wake? Mfano Magufuli hakuanza kusifiwa akiwa Rais Magufuli alikuwa na sifa ya uchapakazi tokea akiwa Waziri! Ukiona wengi wanaofanya hivo ni ujinga wao tu! Na kujipendekeza ili kupata cheo lakini pia huyu bwana anasema Magufuli alijifanya Mungu sidhani kama Magufuli akuwa hivo maana pia hata yeye alisema nitakufa!
Sema watu wenye ajungu na wanafiki, wezi na wapiga dili huwa hawataki kiongizi anayesimamia anachokiamini! Ukimsikiliza huyu bwana hana hoja hoja yake eti Magufuli alijifanya Mungu! Ni waulize hata mtaani kwako au hapo Dar kuna watu wanaojifanya kuabudiwa kama wahindi na mabosi huko maofisini?
Huyo jamaa ni mnafiki na utajikuta hana hata cha maana alichofanya! Sasa Samia yupo Madarakani nini cha maana kimeongezeka? Mi naona matatizo ndo mengi zaidi, umeme kukatika ovyo, kupanda kwa bidhaaa, matukio ya mauaji kuongezeka na ufisadi kuongezeka n.k!