Ushauri tu: Wapambe tumwepushe Rais na sifa zinazoweza kumdhuru

Wanaosifiwa huwa wanaona ni sahihi. Ndio maana huwa wanateuliwa
 
🤣🤣🤣
 
Shekhe Alhadi Mussa aliua kabisa🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana kumbe Tanzania nzima ikajaa vilio na simanzi enzi hizo
 
Mwenye masikio ya kusikia na asikie
 
Huo ndiyo uhuru wa maoni ña kujieleza ambao Magufuli aliupokinya. Tusipangiane cha kuongea. Umamshangaa huyo na unaacha kujishangaa wewe mwenyewe Jidu la manambasi ambaye unaponda kila kitu anachofanya Samia.

Kila mtu ashinde mechi zake
 
CCM wanacheza na udhaifu wa mtu aliye madarakani

Sio CCM tu bali ni wachumia fursa wote nchini. Certainly CCM karibia wote ni watu wa fursa. Lakini wako wanaoanzia kwenye vyama vya upinzani kisha kuunga mkono juhudi.

Fikiria, katibu mkuu wa CCM na mwenezi wake waliajiriwa directly toka nje ya chama. Hawa ni watu waliojulikana kuwa na mitazamo/misimamo tofauti kabisa na ya CCM. Lakini kwa namna isiyoeleweka wakapewa nyadhfa hizo nzito na, bila ajizi, wakaanza kuwatikisa “wahuni” wenye chama chao!
 
Nabii Mussa alipewa maagizo ama sheria kuitii katika Kutoka 20:2 - 5. ( soma kwa makini).

Sasa mtu anapokuita wewe ni Mungu na wewe unafurahia sifa hiyo aisee unakuwa umejitengenezea mgogoro wewe na Muumba wako.

Kama taifa tulifika pahala papaya sana juu ya unafiki na kujikomba.. chezea mengine yote lakini si utake kuabudiwa.

Anayeabudiwa hapa duniani ni mmoja tu.
 
Huo ndiyo uhuru wa maoni ña kujieleza ambao Magufuli aliupokinya. Tusipangiane cha kuongea. Umamshangaa huyo na unaacha kujishangaa wewe mwenyewe Jidu la manambasi ambaye unaponda kila kitu anachofanya Samia.

Kila mtu ashinde mechi zake
Mkuu mimi si mnafiki wa jino pembe.
Mama namkubali ila naonya asije ingia mkenge wa Magu.
 
Kweli asee
 
Hii sauti hii.... namna ya uwasilishaji, midundo, mirindimo na maudhui lakini ufahamu na uelewa wa kile anachokiongelea kwa kujiamini ...

Inafanana na mtu anaeitwa Bashiru Ally.🤔 Yewezekana nimekosea kuotea!.
 
Vipi ikatokea na mhusika mwenyewe naye kupenda huo utukufu na sifa? Maana huu utaratibu uliasisiwa awamu ya 5 bila shaka.
Tuache chuki na JPM nyie binadanu naaza kuaamini kwamba kumbe mulimdhuru nyie na sasa mioyo yenu inatapatapa,kwa ubaya wenu.bac angekuwa anapenda kuabudiwa asingemtumbua Kangilugola
MTU ambaye alipendwa kutukuzwa kuliko marais wote ni mzee ruksa Alikuwa anaitwa mtukufu raisi wale wakongwe wanajuwa hili(mtukufu ni Mungu ila yeye alikuwa anaitwa mtufu rais)
 
Aliyetoa hiyo clip ame argue vizuri sana.
Kwanza Magufuli mwenyewe alisema hashauriwi na mtu yeyote(akijua he is omnipotent-anajua kila kitu)
 
Wewe inaonyesha si mkristo wala muislamu kwa kuwa unapingana na maandiko ya Mungu.Sio lazima awe Rais binadamu yeyote atakayekidhamini na kukitukuza kitu au mtu; kuliko Mungu ni
Muabudu sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…