USHAURI: Tumia maandishi makubwa kwenye thread ndefu.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Hii ni social forum, watu wanasoma kwa kupata habari mbali mbali, wengi hawana mda wa kukaa sana kwenye hizi social forum.
Kwa hiyo kama unadhani thread yako ni ndefu, basi jaribu kutumia maandishi makubwa yanayo onekana vizuri ili usimchoshe msomaji
.



 
Mmmh! Hapo umekosea kabisaaaa! Maandishi makubwa yanaboa hata kama habari fupi!
 
Mh! Ni kweli ila herufi kubwa inaboa bhana khaa kama wazee vile
 
Mmmh! Hapo umekosea kabisaaaa! Maandishi makubwa yanaboa hata kama habari fupi!

Nnajua maandishi madogo yanatumia nguvu nyingi kuyasoma, any way ni ushauri tu kwa mujibu wa maoni yangu na jinsi inavyo shauriwa katika uandishi wa notes.

Huwa unajiuliza ni kwanini baadhi ya watu huandika thread kwa rangi? Munkari
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…