DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,909
- 2,115
Hii ni social forum, watu wanasoma kwa kupata habari mbali mbali, wengi hawana mda wa kukaa sana kwenye hizi social forum.
Kwa hiyo kama unadhani thread yako ni ndefu, basi jaribu kutumia maandishi makubwa yanayo onekana vizuri ili usimchoshe msomaji.
Kwa hiyo kama unadhani thread yako ni ndefu, basi jaribu kutumia maandishi makubwa yanayo onekana vizuri ili usimchoshe msomaji.