USHAURI UBORA WA PASSO 1.3 TWIN CAM

Malcom_X

Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
20
Reaction score
50
Habari yenu wadau, na kwa wale wataalamu wa mambo. Napenda kufahamu hii gari ubora na udhaifu wa wake. Na ikiwezekana ina Piston 3 au 4?
 
Ngoja wenye magari waje sisi ambao hatuna magari ni ngumu sana kuyajua haya mkuu ngoja mshana extrovet and co waje apa
 
Chukua yenye piston 4 angalau itakufaa Kwa Safar za mjini na mikoani kuliko hiyo yenye piston 3.
Kuhusu ulaji wa mafuta utofauti wake ni mdogo Sana pia kuhusu uimara yote yanafanana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…