USHAURI UBORA WA PASSO 1.3 TWIN CAM

USHAURI UBORA WA PASSO 1.3 TWIN CAM

Malcom_X

Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
20
Reaction score
50
Habari yenu wadau, na kwa wale wataalamu wa mambo. Napenda kufahamu hii gari ubora na udhaifu wa wake. Na ikiwezekana ina Piston 3 au 4?
FB_IMG_1565353599035.jpeg
FB_IMG_1565353647099.jpeg
 
Chukua yenye piston 4 angalau itakufaa Kwa Safar za mjini na mikoani kuliko hiyo yenye piston 3.
Kuhusu ulaji wa mafuta utofauti wake ni mdogo Sana pia kuhusu uimara yote yanafanana tu
 
Back
Top Bottom