Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Unatengeneza majeneza yanakaa muda mrefu yanaharibiwa na muchwa unapata stress UNAKUFATengeneza majeneza mtu wangu yanalipa
HahahahaUnatengeneza majeneza yanakaa muda mrefu yanaharibiwa na muchwa unapata stress UNAKUFA
wazee wa kubet forex... mna maneno sanaaaaaaa na kutonyeshaga balance fake...Nipe mm hiyo hela niwekeze kwenye forex kila mwisho wa mwezi ntakuwa nakupa laki 5 kama faida
Kama hujui kitu, ni bora kukaa kimya tuwazee wa kubet forex... mna maneno sanaaaaaaa na kutonyeshaga balance fake...
cha ajabu anayekuonesha balance inasoma GBP 3800 kesho anakupiga kizinga hadi unajiuliza ww sijana umenionyesha balance yako ya forex inasoma GBP 3800
ile ya mwanaume MASHINE mkuuNunua mashine.
ukweli ndio huo the so called forex traders kelele nyingi lakini hamtoboi njaa tupu tuKama hujui kitu, ni bora kukaa kimya tu
BIKO..kule mshiko nje njeHabarini wakuu.
Nimepambana nimepata mahali 2 mil. Nataka niwekeze walau niwe napata chochote. Naishi Moshi Mjini.
Kuhusu kilimo hapana!
Naombeni ushauri mapema wakuu maana hela haikai na matatizo nayo ni mengi sana.
Wasalaam!