Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Unadhani wanadanganya ili wapate faida gani??wazee wa kubet forex... mna maneno sanaaaaaaa na kutonyeshaga balance fake...
cha ajabu anayekuonesha balance inasoma GBP 3800 kesho anakupiga kizinga hadi unajiuliza ww sijana umenionyesha balance yako ya forex inasoma GBP 3800