Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,152 Reaction score 9,206 Nov 6, 2018 #21 Jimmie Gatsby said: wazee wa kubet forex... mna maneno sanaaaaaaa na kutonyeshaga balance fake... cha ajabu anayekuonesha balance inasoma GBP 3800 kesho anakupiga kizinga hadi unajiuliza ww sijana umenionyesha balance yako ya forex inasoma GBP 3800 Click to expand... Unadhani wanadanganya ili wapate faida gani??
Jimmie Gatsby said: wazee wa kubet forex... mna maneno sanaaaaaaa na kutonyeshaga balance fake... cha ajabu anayekuonesha balance inasoma GBP 3800 kesho anakupiga kizinga hadi unajiuliza ww sijana umenionyesha balance yako ya forex inasoma GBP 3800 Click to expand... Unadhani wanadanganya ili wapate faida gani??
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Nov 7, 2018 #22 jumanne12 said: Tengeneza majeneza mtu wangu yanalipa Click to expand... Naunga mkono hoja kwa vyuma hivi watu wanakufa balaa
jumanne12 said: Tengeneza majeneza mtu wangu yanalipa Click to expand... Naunga mkono hoja kwa vyuma hivi watu wanakufa balaa
Billie JF-Expert Member Joined Aug 13, 2011 Posts 13,588 Reaction score 22,752 Nov 7, 2018 #23 Nunua boda boda komaa mwenyewe faida ipo
B Bizoo1 JF-Expert Member Joined Jul 27, 2018 Posts 425 Reaction score 314 Nov 7, 2018 #24 Mku kutafuta pesa ni kazi ila kuilinda isiponyoke ni kazi zaidi. Tuliza kichwa , weka hiyo pesa bank huku ukiendelea kupamba na pia wewe uliitafuta kwa lengo gani rudi kwenye wazo lako .
Mku kutafuta pesa ni kazi ila kuilinda isiponyoke ni kazi zaidi. Tuliza kichwa , weka hiyo pesa bank huku ukiendelea kupamba na pia wewe uliitafuta kwa lengo gani rudi kwenye wazo lako .