Gx na Uber ?huyo mwambie auze anunue bajaj
taxify
ni kweli ndio maana hata safari ndefu kama dar tanga au dar moro usishangae kuon gx 110 imeunga nyuma ya maspeed ya vx-x8 na wanakwenda sambamba hata speed 180 kitu ambacho huwezi kufanya ukiwa na ist au passoGx 100-110 inakula sana mafuta, ulaje wake wa mafuta unapishana Kidogo na landcruize V8 kama zile za Viongz...
Haiwez kufanya Biashara ya Tax, Kwa kuwa route ya 10,000 yenyewe inatakula mafuta ya 15,000.
Wengi bado hawajajua Hulaje wake amtafute dalali mzuri atafute wateja haiuze, Hiyo pesa ajichange change tena anunue gari, Ndg kama passo,ist, nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo mkuu we unamshauri abaki nalo kwavile linakimbiamkuu huo mnyama naukubali sana hata kama ni namba A hakuna cha vigari namba D hapo unakimbiza tuu mnyama hata vx unaikimbiza tuu huo mnyama huwa hauzeeki mzee huyo anae kuambia uuze chuma chakavu unajua anavyo umia barabarani roho ina muumia hapati usingizi
aje kwangu aweke bond nimpe elaKwahiyo mkuu we unamshauri abaki nalo kwavile linakimbia
mwambie atoke dar,interior ku kuna fursa kibao,mfano aende songea akatafte vibali afanye kusafrisha watu route ya songea - peramiho-mpitimbi, njia ina watu wengi sana hii 24/7,au aende simiyu,akapige ruti za gamboshi-ngasamo-bariadi-gasuma, maeneo hayo kuna migodi mipya ya dhahabu,watu ni shazi na usafiri unahitajika sana na hautoshi,nihayo tuuuKuna ndugu yuko jobless kwa sasa ila anamiliki gari JX 110. Ameniuliza anachoweza kuifanyia kama biashara nimekosa jibu.
Wadau, maalwatani wa Jiji tunaomba ushauri ushauri wenu.
Yap,asubiri mbio za langa langaKwahiyo mkuu we unamshauri abaki nalo kwavile linakimbia
Hili wazo nimelipendamwambie atoke dar,interior ku kuna fursa kibao,mfano aende songea akatafte vibali afanye kusafrisha watu route ya songea - peramiho-mpitimbi, njia ina watu wengi sana hii 24/7,au aende simiyu,akapige ruti za gamboshi-ngasamo-bariadi-gasuma, maeneo hayo kuna migodi mipya ya dhahabu,watu ni shazi na usafiri unahitajika sana na hautoshi,nihayo tuuu
Umesahau kwamba mnyama huyo ni jinimkuu huo mnyama naukubali sana hata kama ni namba A hakuna cha vigari namba D hapo unakimbiza tuu mnyama hata vx unaikimbiza tuu huo mnyama huwa hauzeeki mzee huyo anae kuambia uuze chuma chakavu unajua anavyo umia barabarani roho ina muumia hapati usingizi
Atakae muuzia labda mtu kutoka koromije uko maana hata hao wamkoani wanajua anakula mafuta na sio chakulaGx 100-110 inakula sana mafuta, ulaje wake wa mafuta unapishana Kidogo na landcruize V8 kama zile za Viongz...
Haiwez kufanya Biashara ya Tax, Kwa kuwa route ya 10,000 yenyewe inatakula mafuta ya 15,000.
Wengi bado hawajajua Hulaje wake amtafute dalali mzuri atafute wateja haiuze, Hiyo pesa ajichange change tena anunue gari, Ndg kama passo,ist, nk.
Sent using Jamii Forums mobile app