Ushauri. Ukiwa na gari saloon kwa Dar-Es-Salaam unaweza kuifanyia kazi gani ukapata kipato?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Kuna ndugu yuko jobless kwa sasa ila anamiliki gari JX 110. Ameniuliza anachoweza kuifanyia kama biashara nimekosa jibu.

Wadau, maalwatani wa Jiji tunaomba ushauri ushauri wenu.
 
Gx 110 Mark II.
Sorry for typing error
 
Gx 100-110 inakula sana mafuta, ulaje wake wa mafuta unapishana Kidogo na landcruize V8 kama zile za Viongz...
Haiwez kufanya Biashara ya Tax, Kwa kuwa route ya 10,000 yenyewe inatakula mafuta ya 15,000.
Wengi bado hawajajua Hulaje wake amtafute dalali mzuri atafute wateja haiuze, Hiyo pesa ajichange change tena anunue gari, Ndg kama passo,ist, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni kweli ndio maana hata safari ndefu kama dar tanga au dar moro usishangae kuon gx 110 imeunga nyuma ya maspeed ya vx-x8 na wanakwenda sambamba hata speed 180 kitu ambacho huwezi kufanya ukiwa na ist au passo
 
mkuu huo mnyama naukubali sana hata kama ni namba A hakuna cha vigari namba D hapo unakimbiza tuu mnyama hata vx unaikimbiza tuu huo mnyama huwa hauzeeki mzee huyo anae kuambia uuze chuma chakavu unajua anavyo umia barabarani roho ina muumia hapati usingizi
Kwahiyo mkuu we unamshauri abaki nalo kwavile linakimbia
 
Kama anahitaji ife kwa haraka au iwe 'Spana Mkononi' aikabidhi kwa Madereva wa 'Uber'

Jamaa utadhan wamesomea uharibifu
 
Kuna ndugu yuko jobless kwa sasa ila anamiliki gari JX 110. Ameniuliza anachoweza kuifanyia kama biashara nimekosa jibu.

Wadau, maalwatani wa Jiji tunaomba ushauri ushauri wenu.
mwambie atoke dar,interior ku kuna fursa kibao,mfano aende songea akatafte vibali afanye kusafrisha watu route ya songea - peramiho-mpitimbi, njia ina watu wengi sana hii 24/7,au aende simiyu,akapige ruti za gamboshi-ngasamo-bariadi-gasuma, maeneo hayo kuna migodi mipya ya dhahabu,watu ni shazi na usafiri unahitajika sana na hautoshi,nihayo tuuu
 
Nenda Media English School ongea na mwalimu akudhamini kwa wazazi watano au sita kwa ajili ya usafiri wa watoto wao kila siku.
 
mwambie atoke dar,interior ku kuna fursa kibao,mfano aende songea akatafte vibali afanye kusafrisha watu route ya songea - peramiho-mpitimbi, njia ina watu wengi sana hii 24/7,au aende simiyu,akapige ruti za gamboshi-ngasamo-bariadi-gasuma, maeneo hayo kuna migodi mipya ya dhahabu,watu ni shazi na usafiri unahitajika sana na hautoshi,nihayo tuuu
Hili wazo nimelipenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu huo mnyama naukubali sana hata kama ni namba A hakuna cha vigari namba D hapo unakimbiza tuu mnyama hata vx unaikimbiza tuu huo mnyama huwa hauzeeki mzee huyo anae kuambia uuze chuma chakavu unajua anavyo umia barabarani roho ina muumia hapati usingizi
Umesahau kwamba mnyama huyo ni jini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gx 100-110 inakula sana mafuta, ulaje wake wa mafuta unapishana Kidogo na landcruize V8 kama zile za Viongz...
Haiwez kufanya Biashara ya Tax, Kwa kuwa route ya 10,000 yenyewe inatakula mafuta ya 15,000.
Wengi bado hawajajua Hulaje wake amtafute dalali mzuri atafute wateja haiuze, Hiyo pesa ajichange change tena anunue gari, Ndg kama passo,ist, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakae muuzia labda mtu kutoka koromije uko maana hata hao wamkoani wanajua anakula mafuta na sio chakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom