joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #221
Wewe ndio kichaa, kama ukiamini kwamba unemployment Kenya ni 7.2%, wakati USA ni kati ya 8 hadi 10% hiyo unakubali?tulitee credible data kutoka kwa TNBS au WB inayoonesha unemployment rate yenu ni 1.5%....hii ata uwe mjinga aje huezi amini. Tanzania basi itakua nchi inayoongoza duniani kwa lowest unemployment rate