Ushauri: Ukweli umeshaanza kujulikana, ni vizuri tupunguze malumbano

Aisee hawa madem wa kenya wanatuchanganya mwamba,nmetengua kauli[emoji16][emoji16]
Hahahaaa ni demu uyo mkuu ila huwa hapendi kuonekana ni demu nadhani atakuwa ni lesbian but komora ni demu mkuu.
 
Aisee hawa madem wa kenya wanatuchanganya mwamba,nmetengua kauli[emoji16][emoji16]
Kuna Wakenya wawili humu huwa hawapendi kuonekana ni mademu mmojawapo ni huyu komora na mwingine ni Teargass.


Ila tuliwagundua miandiko yao ya kike [emoji3][emoji3]
 
Sababu ni moja tu ya msingi. Kenya wana bandari moja tu ambayo mizigo yote inapita, tanzania tuna bandari kubwa 4. tukikusanya mizigo yote tukapitisha dar es salaam haitashikika Africa nzima
 
Ndio tunataka kujua ni mizigo gani mingi ambayo Kenya inaagiza kiasi cha kutuzidi sisi wenye nchi kubwa na watu wengi ukiacha Chakula ambacho sisi hatuagizi toka nje?, je ni malighafi kwa ajili ya viwanda?
Mnahangaika wakati jibu ni simple Sana,Uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zote za EAC combined na pia Kenya ina trade volume kubwa na nchi zote za EAC na ina export manufactured goods ndio kusema Kenya ni manufacturing hub ya EAC maana kampuni nyingi zinaweka HQ zao Kenya ili kupenya Masoko ya EAC kwa maana hiyo Ina make sense kwa Kenya ku import vipuri vya viwandani na Ku export kwenye Masoko Kama Agoa nk nk
 
Mnahangaika kupata jibu wakati liko wazi,check gdp figures na intra trade volumes za nchi ambazo zinapitisha mizigo bandari ya Dar utapata jibu.
Pili uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi yoyote ukanda huu wa afrika mashariki na Kati yaani mshindani wa Karibu wa Kenya ni Egypt na South Africa wengine wote ni junior Sana kwenye uchumi na biashara.
Kumekuwa na hoja ya eti Kenya kuipigia magoti Tzn ,Mimi nadhani ujinga upande wa Tzn ni mkubwa,wa Tzn kuvuruga uhusiano ili tu kupata sifa za kijinga bila kujali wanaumiza watu wao kwenye biashara ni kawaida wakati huko Kenya wanathamini Sana biashara ndio maana wako radhi kumsifia mjinga ili tu wapate dili.
 
Wengi wa hao ni viazi,we wauluze sgr ya Tzn imeendana na deadline? Kipande Cha km 200 Bado kinahangaisha nchi
 
Wale jamaa fulani watakuja kupinga,watakwambia mbona Kenya iliwapigia magoti wakati wao wamejenga viwanda vya cherehani zaidi ya 5000 😆😆😆😆😆
 
Hata maboresho yafanyike vipi hizo takwimu haziwezi badilika unajua kwa Nini? Jibu ni hilo hapo juu kwamba zaidi ya nusu ya mzigo unaishia ndani,kwa hiyo ishu ni uchumi wa ndani uimarike na hao majirani wakuze uchumi wao tofauti na hapo hakuna kitakachobadilika kuwe na sgr au hapana.
 
Kuna Wakenya wawili humu huwa hawapendi kuonekana ni mademu mmojawapo ni huyu komora na mwingine ni Teargass.


Ila tuliwagundua miandiko yao ya kike [emoji3][emoji3]
Hakuna mwandiko wa kiume au wa kike. Wacha taasubi za kiume
 
Tatizo lako wewe unatumia hisia pekee bila kuwa na data za kuthibitisha, miaka yote bandari kubwa duniani ilikua ni Rotterdam in Netherlands, nchi ambayo haipo katika Top ten ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani, sasa hivi bandari kubwa zaidi ipo China sio Marekani ambayo ina uchumi mkubwa. Jaribu kufikiria kwanza sio lazima uzungumze kitu kama huna uhakika. Uchumi mkubwa hautoshi kuwa ndio sababu. Africa nchi yenye uchumi mkubwa ni Nigeria, lakini bandari kubwa ipo South Africa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Pia asichojua ni kwamba unaweza kuwa na uchumi mkubwa na bado ukawa na nchi yenye maskini wengi wenye kipato cha chini mno mfano aangalie Ethiopia, btw huyo ni mjinga tu asikusumbue ni technician huyo aliyetumbuliwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Lamu ni white elephant, Ethiopia ana commitment ya kutumia port za Djibouti ili waweze kulipa deni la mchina pia mahusiano ya Ethiopia na Somali yapo vizuri sana kwa sasa.
 
Lamu ni white elephant, Ethiopia ana commitment ya kutumia port za Djibouti ili waweze kulipa deni la mchina pia mahusiano ya Ethiopia na Somali yapo vizuri sana kwa sasa.
Nani amekuambia Lamu ni ya Ethiopia tu? Wewe ni wazimu. Hakuna jinsi Kenya nchi kubwa itakuwa na port moja milele. Lazima tuwe angalau na port mbili. Hatuwezi kujiita superpower wa Afrika Mashariki ilhali tuna port moja tu. Hio ni aibu na lazima tuendelee kujenga zingine
 
Tony mbona unapinga vitu vya wazi Karisa?, LAPSSET maana yake ni Ethiopia, South Sudan na Lamu Port, kwahiyo huu mradi umezilenga hizo nchi mbili, haukuilenga nchi ya Kenya hata kidogo, Hakuna bandari yoyote kubwa hapa duniani inayoanzishwa kwa sababu ya domestic uses. Bila Ethiopia na South Sudan, Lamu Port inapoteza uhalali na umuhimu wake.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sijui kati ya mimi na wewe nani anafahamu mradi wa lapsset kushinda mwingine. Obviously mradi wa lapsset inalenga Kenya kwanza kabla ya kulenga hizo nchi zingine. Halafu nyinyi Watanzania mlikuwa mnataka mradi huu usitishwe lakini serikali ya Kenya imeamua kutumia pesa yake kuijenga na sasa mradi unaisha. Wivu wenu haitazuia mradi kujengwa. Nimeshasema, Mombasa port inahitaji msaidizi. Mombasa port inahandle cargo nyingi kushinda port zote za Tanzania kwa hivyo ni ujinga mtupu kusema eti Lamu port haitapata cargo. Hio backlog ya Mombasa port itapungua Lamu port itakapoanza kazi. Turnaround ya Mombasa port itaimprove na Waganda watawacha kabisa kutumia port ya Dar. Mganda atakuwa anapokea mzigo wake masaa 24 baada ya kutua Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…