kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Sasa hivi ni mwendo wa ajira portal. Hakuna cha kusubiri uteuzi kama ilivyokua
www.jamiiforums.com
Waziri Nchemba: Napendekeza Wakuu wa Mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani badala ya teuzi kama awali
Napendekeza wakuu wote wa mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani. Napendekeza nafasi zianze kutangazwa punde nafasi ikiwa wazi ili wenye sifa wajitokeze na wafanyiwe usaili na iwe hivyo hivyo kwa bodi. Wenye sifa ndio wafanyiwe upekuzi kufanyiwa uteuzi na kupewa mkataba wenye malengo...