Ushauri Unahitajika: Bei ya kiwanja kwa ajili ya kujengwa Mnara wa Mawasiliano ya simu

INTROVERT MAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Posts
1,052
Reaction score
1,475
Habarini wakuu,
Niko hapa kuomba ushauri .

Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka mnara wa simu.

Nipo tayari kuuza. Je,niwalipue shilingi ngapi?
 
Usiuze, kodisha wawe wanakulipa kila mwezi

H Niliwah kusikia mahali kuna mzee aliwapangisha na analipwa kila mwezi nadhani sio chini ya 5m

Anyway, kama unataka kuuza bc weka pesa ndefu.
Fuata ushauri huu, ila kwa kuwa ndo wamenza fanya mashauriano nao mkubaliane bei nzuri, si lazima inayo tajwa humu.

Wakisha funga mitambo yao mwaka unao fuata mnaweza boresha makubaliano.

Nimewahi ona jamaa walidanganywa na watu kwamba wapige hela ndefu hawawezi kufungua mnara (aseeh walishindwana na jamaa walishusha mnara mzm ile familia ikakosa hela).

Kikubwa kubalianeni fedha nzuri usifuate akili zetu za humu za m10-12.
 
Haupo serious wewe, hakuna kampuni ya simu inanunua kiwanja wala kumiliki jengo lolote, wao ni mwendo wa kupangisha tu, aliyekuambia anataka kununua ni nani? Maana policy za makampuni ya simu au mabenki hawamikiki real estate yoyote.... kua makini hapo kuna ma middle men watakupa hela ya mbuzi afu wao waingie mkataba na kampuni ya simu wale hela taratibu mpaka wazeeke. Wengi wamepigwa sana kwa style hii
 
Habarini wakuu,
Niko hapa kuomba ushauri .

Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka mnara wa simu.

Nipo tayari kuuza. Je,niwalipue shilingi ngapi?
Hata kama utauza hawatonunua kampuni ya simu ila Kuna mtu atanunua alafu yeye atawapangisha hao watu wa minira
 
Haupo serious wewe, hakuna kampuni ya simu inanunua kiwanja wala kumiliki jengo lolote, wao ni mwendo wa kupangisha tu, aliyekuambia anataka kununua ni nani? Maana policy za makampuni ya simu au mabenki hawamikiki real estate yoyote.... kua makini hapo kuna ma middle men watakupa hela ya mbuzi afu wao waingie mkataba na kampuni ya simu wale hela taratibu mpaka wazeeke. Wengi wamepigwa sana kwa style hii
Nimekuelewa sana.
 
Nipo tayari kuuza. Je,niwalipue shilingi ngapi?
Hua hawauziiwi viwanja vya hivyo hua wanakodishiwa au wanapangishiwa wewe unakula pesa mpaka vitukuu vyako huo ni km mgodi tafuta mwanasheria akutengenezee makaratasi haraka, usiwauzie hicho kiwanja hua wanakodishiwa unakua km umepangisha kiwanja wanakulipa kila mwezi au kwa mwaka mzima pesa inaingia kila mwaka unalipwa usichukue kwa mkupuo ukawauzia kiwanja mazima fanya mambo yako kwa faida kibiashara hio ni biashara yenye faida kwa kutumia ardhi tu
 
Kama ni kuuza pesa ndefu iwe ni ngapi hivi
Mkuu, niamini mm, huyo aliyekuja kwako kutaka kununua sio mhusika wa huo mtandao wa simu, n mshikaji tuu ameona hy fursa hvy anataka kuja kununua kama kiwanja ili yeye akodishe kwa hao wenye mtandao.

Kama unataka kuuza bc fikiria mara mbili huu uamuzi wako mana siku ukija kujua umeuza na uliyemuuzia anapata faida kubwa kukuzidi ww kwa kukodisha hilo eneo, kama una presha unaweza kufa.

Anyway, ww ndie mwenye maamuzi, hapo ukikodisha itakuwa sio chini ya 5m kwa mwezi na atakuwa mteja wa kudumu hadi wajukuu wako watakula hiyo pesa.

Uza ukiwa huna option, ila mm sikushauri kuuza.

Anyway, uza sio chini ya 300m
 
Sisi walikuja kwetu wakataka kumpa Bi mkubwa laki 3 Kwa mwezi walimbbeleza sana. Nikakataa.

Hawajawahi kurudi Hadi Leo yapata miaka mi5.

Wadau nishtueni kumbe ni fursa
 
Mkuu, niamini mm, huyo aliyekuja kwako kutaka kununua sio mhusika wa huo mtandao wa simu, n mshikaji tuu ameona hy fursa hvy anataka kuja kununua kama kiwanja ili yeye akodishe kwa hao wenye mtandao.

Kama unataka kuuza bc fikiria mara mbili huu uamuzi wako mana siku ukija kujua umeuza na uliyemuuzia anapata faida kubwa kukuzidi ww kwa kukodisha hilo eneo, kama una presha unaweza kufa.

Anyway, ww ndie mwenye maamuzi, hapo ukikodisha itakuwa sio chini ya 5m kwa mwezi na atakuwa mteja wa kudumu hadi wajukuu wako watakula hiyo pesa.

Uza ukiwa huna option, ila mm sikushauri kuuza.

Anyway, uza sio chini ya 300m
Ahsante sana
 
Back
Top Bottom