INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,052
- 1,475
Umemshauri vizuri sana achukue ushauri huuUsiuze, kodisha wawe wanakulipa kila mwezi
H Niliwah kusikia mahali kuna mzee aliwapangisha na analipwa kila mwezi nadhani sio chini ya 5m
Anyway, kama unataka kuuza bc weka pesa ndefu.
Fuata ushauri huu, ila kwa kuwa ndo wamenza fanya mashauriano nao mkubaliane bei nzuri, si lazima inayo tajwa humu.Usiuze, kodisha wawe wanakulipa kila mwezi
H Niliwah kusikia mahali kuna mzee aliwapangisha na analipwa kila mwezi nadhani sio chini ya 5m
Anyway, kama unataka kuuza bc weka pesa ndefu.
Hata kama utauza hawatonunua kampuni ya simu ila Kuna mtu atanunua alafu yeye atawapangisha hao watu wa miniraHabarini wakuu,
Niko hapa kuomba ushauri .
Kuna kiwanja kipo eneo zuri (kijijini lakini sio sana pamechangamka) .Sasa kuna watu wa kampuni moja ya simu wamekuja pale nyumbani kwetu ( tuna eneo kubwa karibia robo tatu ekari) na wametuambia frequency zao zimesoma pale kwetu na wanataka kuweka mnara wa simu.
Nipo tayari kuuza. Je,niwalipue shilingi ngapi?
Kama ni kuuza pesa ndefu iwe ni ngapi hiviUsiuze, kodisha wawe wanakulipa kila mwezi
H Niliwah kusikia mahali kuna mzee aliwapangisha na analipwa kila mwezi nadhani sio chini ya 5m
Anyway, kama unataka kuuza bc weka pesa ndefu.
Nimekuelewa sana.Haupo serious wewe, hakuna kampuni ya simu inanunua kiwanja wala kumiliki jengo lolote, wao ni mwendo wa kupangisha tu, aliyekuambia anataka kununua ni nani? Maana policy za makampuni ya simu au mabenki hawamikiki real estate yoyote.... kua makini hapo kuna ma middle men watakupa hela ya mbuzi afu wao waingie mkataba na kampuni ya simu wale hela taratibu mpaka wazeeke. Wengi wamepigwa sana kwa style hii
Hua hawauziiwi viwanja vya hivyo hua wanakodishiwa au wanapangishiwa wewe unakula pesa mpaka vitukuu vyako huo ni km mgodi tafuta mwanasheria akutengenezee makaratasi haraka, usiwauzie hicho kiwanja hua wanakodishiwa unakua km umepangisha kiwanja wanakulipa kila mwezi au kwa mwaka mzima pesa inaingia kila mwaka unalipwa usichukue kwa mkupuo ukawauzia kiwanja mazima fanya mambo yako kwa faida kibiashara hio ni biashara yenye faida kwa kutumia ardhi tuNipo tayari kuuza. Je,niwalipue shilingi ngapi?
Mkuu, niamini mm, huyo aliyekuja kwako kutaka kununua sio mhusika wa huo mtandao wa simu, n mshikaji tuu ameona hy fursa hvy anataka kuja kununua kama kiwanja ili yeye akodishe kwa hao wenye mtandao.Kama ni kuuza pesa ndefu iwe ni ngapi hivi
Ahsante sanaMkuu, niamini mm, huyo aliyekuja kwako kutaka kununua sio mhusika wa huo mtandao wa simu, n mshikaji tuu ameona hy fursa hvy anataka kuja kununua kama kiwanja ili yeye akodishe kwa hao wenye mtandao.
Kama unataka kuuza bc fikiria mara mbili huu uamuzi wako mana siku ukija kujua umeuza na uliyemuuzia anapata faida kubwa kukuzidi ww kwa kukodisha hilo eneo, kama una presha unaweza kufa.
Anyway, ww ndie mwenye maamuzi, hapo ukikodisha itakuwa sio chini ya 5m kwa mwezi na atakuwa mteja wa kudumu hadi wajukuu wako watakula hiyo pesa.
Uza ukiwa huna option, ila mm sikushauri kuuza.
Anyway, uza sio chini ya 300m