Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Kondoa, Dodoma.Mkoa Gani? Upo
We hama hapo tafuta site ingine bila kusahau kuuza na mahindi hapo hapoKimya wakuu
Angalia eneo lenye bonde la mpunga Kwa wingi uweke hapo. Hata zikiwa Tano utaona manufaa.Kondoa, Dodoma.
Ahsante kwa ushauri mkuu, Japo kuhama si kazi rahisi, maana kuvuta tu umeme ilicost 2MWe hama hapo tafuta site ingine bila kusahau kuuza na mahindi hapo hapo
Ahsante kwa ushauriFanya bure. Mtu asiondoke na pumba. Au bei shusha ila pumba isiondoke.
Uza hyo pumba au lisha wanyama wako.
Kwanini bonde la mpunga mkuu?Angalia eneo lenye bonde la mpunga Kwa wingi uweke hapo.hata zikiwa Tano utaona manufaa
1. Una mahindi yako hata gunia 2?Wakuu habari,
Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa?
Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza walau chochote kitu lakini location iliyopo zimeongezeka mashine zingine mbili hivyo hali imekuwa mbaya sana, kwa siku unaweza kusaga na kukoboa unit 5 tu! Kila unit moja inaingiza 1350 hapo bado malipo ya mhudumu sh 3000 kwa siku, Hivyo imekuwa ikiingiza hasara.
Natanguliza shukrani
Last option: Survey Kijiji kilichounganishiwa umeme wa REA recently, then kafunge huko. Utapata pesa.Wakuu habari,