Joseph Gadiel
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 407
- 713
Wakuu habari,
Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa?
Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza walau chochote kitu lakini location iliyopo zimeongezeka mashine zingine mbili hivyo hali imekuwa mbaya sana, kwa siku unaweza kusaga na kukoboa unit 5 tu! Kila unit moja inaingiza 1350 hapo bado malipo ya mhudumu sh 3000 kwa siku, Hivyo imekuwa ikiingiza hasara.
Natanguliza shukrani