Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Karma is a bitch na mchaga wako ni mpumbavu mmoja hivi numero uno….shortly wote akili hamna mnaongozwa na hisia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eh inaniusu maana umenijibu Mimi ukiwa mstarab nakuwa mstaarabMatusi ya nini mkuu kwan inakuhusu wewe?
Kwani ndoa ndio Nini??Wanawake wengi wa kizazi cha bet pawa, wamekosa uvumilivu katika ndoa, Mimi nasema unachokitafuta utakivuna hivi punde.
[emoji848]focus na ndoa yako ,huko kwa mchaga unafosi tu kupendwa ,ni vile akili yako haitaki kuukubali ukweli.
Komaa na mumeo alikuheshimisha ,ni zamu yako now kumrudisha kwenye mstari..kwa maombi au vyovyote vile ili mradi umlinde na usimamie nafasi yako kama mke .