Nilienda jela miaka10 iliyopita kwa kosa la kumpa mimba mwanafunz.Kimsingi mimba haikuwa yang ilikuwa ya mwanaume mwingine
Kwa sababu ya binti kutaka kumhifadhi aliyempa mimba wakapanga dili ili nitajwe mim kwa kuwa niliwahi kumtongoza,ghafla nilipewa jibu na binti huyo ombi langu amelikubali hivyo nipange siku tuonane,tulikutana na nikala tunda,baada ya wiki mbili nikapandishwa kizimbani kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi,hakimu alisema una miezi 3
Baada ya mimi kufungwa binti akaolewa na jamaa aliyempa mimba.Kwa bahati nilipata msamaha wa raisi baada ya kukaa gerezani miaka 10.Niliporudi tu nilienda kumwona mtoto wangu aliyesababisha nifungwe lakini nilipewa jibu kwamba sina mtoto na mtoto ni wa mume anayeishi naye nilipomuuliza binti sababu zilizomfanya anitaje mimi akajibu alishauriwa na huyo kijana aliyemuoa kimsingi ndiyo ilikuwa mimba yake,nataka kwenda mahakamani kuomba ile miaka 10 niliyokaa mimi akakae mhusika mwenye mtoto.Je kisheria inawezekana,kwani mtoto siwezi kupata.Naomba ushauri wenu