Ushauri unahitajika kwa kijana mwenzenu

Ushauri unahitajika kwa kijana mwenzenu

ligera

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
2,646
Reaction score
1,171
Nilienda jela miaka10 iliyopita kwa kosa la kumpa mimba mwanafunz.Kimsingi mimba haikuwa yang ilikuwa ya mwanaume mwingine

Kwa sababu ya binti kutaka kumhifadhi aliyempa mimba wakapanga dili ili nitajwe mim kwa kuwa niliwahi kumtongoza,ghafla nilipewa jibu na binti huyo ombi langu amelikubali hivyo nipange siku tuonane,tulikutana na nikala tunda,baada ya wiki mbili nikapandishwa kizimbani kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi,hakimu alisema una miezi 3

Baada ya mimi kufungwa binti akaolewa na jamaa aliyempa mimba.Kwa bahati nilipata msamaha wa raisi baada ya kukaa gerezani miaka 10.Niliporudi tu nilienda kumwona mtoto wangu aliyesababisha nifungwe lakini nilipewa jibu kwamba sina mtoto na mtoto ni wa mume anayeishi naye nilipomuuliza binti sababu zilizomfanya anitaje mimi akajibu alishauriwa na huyo kijana aliyemuoa kimsingi ndiyo ilikuwa mimba yake,nataka kwenda mahakamani kuomba ile miaka 10 niliyokaa mimi akakae mhusika mwenye mtoto.Je kisheria inawezekana,kwani mtoto siwezi kupata.Naomba ushauri wenu
 
Mtoto siwezi kupata kwa sababu sheria zetu zinatamka wazi kwamba mtoto wa nani anatakiwa atamke mama wa mtoto,na jamaa kaniharibia future yangu
 
Hii angalau inafikirisha..
Japo ina-sound kama fiction.
Wajuzi wa sheria tujuzeni kuhusu hii kesi.
Je, inawezekana mtu kukata rufaa na kudai haki yake hapo?
 
Nenda kafungue mashtaka tu, kitaeleweka mbele kwa mbele aisee. 10 good years?! Kadai dna kwanza, afu uwashughulishe
 
visasi havifai, Utakuwa jasili sana kama utaweza kujizuia kulipa kisasi kuliko kuanza mapambano ya kulipiza.......
 
sure teach thema a lesson they wont forget,mimi si mwanasheria nashauri hivi kwanza ukusanye ushahidi utaonesha huyo dada alijua tangu mapema sio wako na alifanya makusudi,fanya naye mazungumzo na atamke hivyo na umrecord,tuanzie hapo wakati tunasubiria wanasheria!
 
Mpeni ushauri wa kisheria kwa wale wajuzi wa hiyo fani.

Kulipa kisasi muhimu. Nyinyi mnacheza na miaka 10 ya jela sio.

Mademu zenu wakiwamwaga tu mnalipa visasi. Sembuse ujinga huu

Mwanangu komaa na game. Kama vp mbona advocates wapo kibao tu Mjini Ingia uwaone.

Malipo ni hapa hapa duniani tu. Kwingine ni stori za kusadikika.
 
Hatari....hapo I smell shit,lakini msaada tu wa kisheria ndo unaweza ku solve hiyo issue
 
duh jaman kama n kwel pole na ungesamehe tu kila kitu kina sababu may b withn hyo 10yrs uraian ungekua ushadakwa kwa sembe as uliweza kukumbatia sichudenti basi sembe ingekua kitu chepesi kukikumbatia sanasana mshukuru huyo kijana kwa wazo lake jema lakukunusu na makubwa ya uraian songa mbele future ni ww na si kilichotokea zaman...as uliiharibu mwenyew maana usngegusa pale isngekukuta.....poleeeeeeeeeee kijana na kama n fix bas ur a good story maker....
 
sure teach thema a lesson they wont forget,mimi si mwanasheria nashauri hivi kwanza ukusanye ushahidi utaonesha huyo dada alijua tangu mapema sio wako na alifanya makusudi,fanya naye mazungumzo na atamke hivyo na umrecord,tuanzie hapo wakati tunasubiria wanasheria!

ushahidi upo kwa sababu nimefuatilia hadi kwa mwl.Mkuu kuhusu mtoto amemwandikisha ubin wa mme anayeishi naye, halafu nimeita wazee wamuulize mwanaume huyo amekiri ni kweli mtoto ni mali yake na mtoto mwenyewe amefanana naye sana.Shida yangu na yeye akafungwe
 
duh jaman kama n kwel pole na ungesamehe tu kila kitu kina sababu may b withn hyo 10yrs uraian ungekua ushadakwa kwa sembe as uliweza kukumbatia sichudenti basi sembe ingekua kitu chepesi kukikumbatia sanasana mshukuru huyo kijana kwa wazo lake jema lakukunusu na makubwa ya uraian songa mbele future ni ww na si kilichotokea zaman...as uliiharibu mwenyew maana usngegusa pale isngekukuta.....poleeeeeeeeeee kijana na kama n fix bas ur a good story maker....

its true story mkuu
 
Mpeni ushauri wa kisheria kwa wale wajuzi wa hiyo fani.

Kulipa kisasi muhimu. Nyinyi mnacheza na miaka 10 ya jela sio.

Mademu zenu wakiwamwaga tu mnalipa visasi. Sembuse ujinga huu

Mwanangu komaa na game. Kama vp mbona advocates wapo kibao tu Mjini Ingia uwaone.

Malipo ni hapa hapa duniani tu. Kwingine ni stori za kusadikika.

asante mkuu , kwa ushauri wako
 
Mtoto siwezi kupata kwa sababu sheria zetu zinatamka wazi kwamba mtoto wa nani anatakiwa atamke mama wa mtoto,na jamaa kaniharibia future yangu

Mkuu siku hizi kuna vipimo vya DNA,hizo habari za kutamka mama wa watoto hazipo ndio maana ulifungwa mwanzo sababu mama alitamka.Wewe ulitakiwa kukana toka mwanzo ulivyo pandishwa kizimbani kuwa mtoto sio wako
 
Hebu ngoja kwanza, take a step back....Wewe ulihukumiwa kwa kufanya mapenzi na mwanafunzi sio kumpa mimba. Sasa kama jamaa alivuta mzigo we utamshtaki kwa lipi. Labda kama una namna ya kutoa ushahidi kuwa naye pia alibaka. Kimsingi unachojaribu kufanya ni kuonesha kuwa mbakaji (kwa mujibu wa hizi sheria zinazo-assume kwamba mtu yeyote anayesoma hana akili za kutosha regardless of age) hukuwa peke yako. Kwamba mlikuwa wawili au zaidi. Ni ngumu sana kuprove hiyo ishu kibongo bongo. Kama vipi wafanyie umafia tu, kama noma na we noma.
 
Mkuu siku hizi kuna vipimo vya DNA,hizo habari za kutamka mama wa watoto hazipo ndio maana ulifungwa mwanzo sababu mama alitamka.Wewe ulitakiwa kukana toka mwanzo ulivyo pandishwa kizimbani kuwa mtoto sio wako
Hivi unafungwa kwa kumpa mimba msichana au kufanya naye mapenzi?
 
Back
Top Bottom