Hivi unafungwa kwa kumpa mimba msichana au kufanya naye mapenzi?
Hivi unafungwa kwa kumpa mimba msichana au kufanya naye mapenzi?
si wanasema dawa ya moto ni moto
Sasa kama hukuwa na kosa la kubaka, kutembea na mwanafunzi ni nini? Mimi ninavyojua kwa mujibu wa sheria ya Bongoland (usiniulize kifungu) ni kwamba kufanya mapenzi na mwanafunzi yeyote aliyeko hatua ya msingi au sekondari ni kubaka hata akiwa na miaka 40. Ukisema ulishitakiwa kwa kumpa mimba ina maana usingempa hiyo mimba kusingekuwa na mashitaka ya kujibu? Na kama ulimpa mimba si ungemwambia akurudishie tu mkuu hahahah?Kimsingi nilishtakiwa kwa makosa mawili la kwanza kutembea na mwanafunzi na la pili kumpa mimba mwanafunzi .Kosa la kubaka halikuwepo kwa sababu binti mwenyewe alikuwa na miaka 18
Kibongobongo binti wa shule amefananishwa na binadamu asiye na ubongo na asiyeweza kufikiri kabisa. Kwa hiyo hapo sana sana itabidi huyu jamaa na huyo mume warudi jela tena kwa kosa la kushirikiana kumrubuni binti.Mkuu cha muhimu hapo you want to clear your name, kwa hiyo we lianzishe tu, kama ingekuwa huku yani huyo binti lazima angeenda jela but kibongobongo sijui itakuwaje. Anyway pole sana
Nilienda jela miaka10 iliyopita kwa kosa la kumpa mimba mwanafunz.Kimsingi mimba haikuwa yang ilikuwa ya mwanaume mwingine
Kwa sababu ya binti kutaka kumhifadhi aliyempa mimba wakapanga dili ili nitajwe mim kwa kuwa niliwahi kumtongoza,ghafla nilipewa jibu na binti huyo ombi langu amelikubali hivyo nipange siku tuonane,tulikutana na nikala tunda,baada ya wiki mbili nikapandishwa kizimbani kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi,hakimu alisema una miezi 3
Baada ya mimi kufungwa binti akaolewa na jamaa aliyempa mimba.Kwa bahati nilipata msamaha wa raisi baada ya kukaa gerezani miaka 10.Niliporudi tu nilienda kumwona mtoto wangu aliyesababisha nifungwe lakini nilipewa jibu kwamba sina mtoto na mtoto ni wa mume anayeishi naye nilipomuuliza binti sababu zilizomfanya anitaje mimi akajibu alishauriwa na huyo kijana aliyemuoa kimsingi ndiyo ilikuwa mimba yake,nataka kwenda mahakamani kuomba ile miaka 10 niliyokaa mimi akakae mhusika mwenye mtoto.Je kisheria inawezekana,kwani mtoto siwezi kupata.Naomba ushauri wenu

Kibongobongo binti wa shule amefananishwa na binadamu asiye na ubongo na asiyeweza kufikiri kabisa. Kwa hiyo hapo sana sana itabidi huyu jamaa na huyo mume warudi jela tena kwa kosa la kushirikiana kumrubuni binti.
Mkuu kibongo bongo ndiyo hivyo. The guy is not off the hook just because someone else impregnated the girl. They both fall in the same basket. Of coz yeye kwa kuwa ashaenda itabidi huyo mwingine naye aende akale mvua zakeMkuu kivipi nadhani huyu jamaa alienda jela kimakosa even though he slept with a minor which but hiyo adhabu alipata ilikuwa kubwa sana. But my issue, the other guy has to pay for it too!
si wanasema dawa ya moto ni moto
Mkuu kibongo bongo ndiyo hivyo. The guy is not off the hook just because someone else impregnated the girl. They both fall in the same basket. Of coz yeye kwa kuwa ashaenda itabidi huyo mwingine naye aende akale mvua zake
Huko wapi mkuu?Damn, yani huyo jamaa angekuwa huku mbona lawyers wangekuwa wanamgombania coz yani hapo kuliwa na uhakika wa pesa ndefu sana, coz lawyer could easily sued the state and the two other guys involved. Yani sheria zetu ni inshu sana kama you are not connected and without money, you can easily rot in jail. I believe this guy lacked better representation then akapewa na state, the sure way to loose a case. But as they always say, malipo ni hapahapa, I hope they get what they deserve.
Huko wapi mkuu?