Ushauri unahitajika kwa kijana mwenzenu

Ushauri unahitajika kwa kijana mwenzenu

Hivi unafungwa kwa kumpa mimba msichana au kufanya naye mapenzi?

Mkuu mimi hata sina uhakika sheria ina semaje hapo.Ila hata ukifumwa unafanya mapenzi ni kesi pia sababu una muharibu.Kwahiyo ukimpa ujauzito unakuwa na kesi mbili za kujibu
 
Wapotezee Mungu ndio anajua. Pia kama unaishi nao mji mmoja hama kupunguza maumivu ya moyo.
 
Hivi unafungwa kwa kumpa mimba msichana au kufanya naye mapenzi?

Kimsingi nilishtakiwa kwa makosa mawili la kwanza kutembea na mwanafunzi na la pili kumpa mimba mwanafunzi .Kosa la kubaka halikuwepo kwa sababu binti mwenyewe alikuwa na miaka 18
 
si wanasema dawa ya moto ni moto

Mkuu cha muhimu hapo you want to clear your name, kwa hiyo we lianzishe tu, kama ingekuwa huku yani huyo binti lazima angeenda jela but kibongobongo sijui itakuwaje. Anyway pole sana
 
Sasa kama hukuwa na kosa la kubaka, kutembea na mwanafunzi ni nini? Mimi ninavyojua kwa mujibu wa sheria ya Bongoland (usiniulize kifungu) ni kwamba kufanya mapenzi na mwanafunzi yeyote aliyeko hatua ya msingi au sekondari ni kubaka hata akiwa na miaka 40. Ukisema ulishitakiwa kwa kumpa mimba ina maana usingempa hiyo mimba kusingekuwa na mashitaka ya kujibu? Na kama ulimpa mimba si ungemwambia akurudishie tu mkuu hahahah?
 
Mkuu cha muhimu hapo you want to clear your name, kwa hiyo we lianzishe tu, kama ingekuwa huku yani huyo binti lazima angeenda jela but kibongobongo sijui itakuwaje. Anyway pole sana
Kibongobongo binti wa shule amefananishwa na binadamu asiye na ubongo na asiyeweza kufikiri kabisa. Kwa hiyo hapo sana sana itabidi huyu jamaa na huyo mume warudi jela tena kwa kosa la kushirikiana kumrubuni binti.
 
Nilienda jela miaka10 iliyopita kwa kosa la kumpa mimba mwanafunz.Kimsingi mimba haikuwa yang ilikuwa ya mwanaume mwingine

Kwa sababu ya binti kutaka kumhifadhi aliyempa mimba wakapanga dili ili nitajwe mim kwa kuwa niliwahi kumtongoza,ghafla nilipewa jibu na binti huyo ombi langu amelikubali hivyo nipange siku tuonane,tulikutana na nikala tunda,baada ya wiki mbili nikapandishwa kizimbani kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi,hakimu alisema una miezi 3

Baada ya mimi kufungwa binti akaolewa na jamaa aliyempa mimba.Kwa bahati nilipata msamaha wa raisi baada ya kukaa gerezani miaka 10.Niliporudi tu nilienda kumwona mtoto wangu aliyesababisha nifungwe lakini nilipewa jibu kwamba sina mtoto na mtoto ni wa mume anayeishi naye nilipomuuliza binti sababu zilizomfanya anitaje mimi akajibu alishauriwa na huyo kijana aliyemuoa kimsingi ndiyo ilikuwa mimba yake,nataka kwenda mahakamani kuomba ile miaka 10 niliyokaa mimi akakae mhusika mwenye mtoto.Je kisheria inawezekana,kwani mtoto siwezi kupata.Naomba ushauri wenu

Nilienda jela miaka 10 iliopita ..... hakimu alisema una miezi mi3 ... wee ulihukumiwa miaka mingapi? .....fafanua! nilitoka kwa msamaha wa rais! Ww una umri gn? Msamaha wa rahisi mbn hauwahusu waliowapa mimba wnfnz, robbery, wenye murder, wahujumu uchumi, wa rushwa! Mkuu mm nina maswali mengi sn ktk huu mkasa wako, ntajie gereza na mwaka uliofungwa!
 
Duh! Pole sana mkuu,kisheria unaweza kwenda kufungua kesi ya madai kuhitaji fidia(damages for tort of malicious prosecution na false imprisonment,ukusanye na uthibitishe pasipo shaka uhusika wao wa nia mbaya ktk kufanyiwa upelelezi,kufungwa hadi kuachiwa.unaweza kuomba mahakama itoe order mkafanyiwe d.n.a test,wenzio watoe vyeti vya mtoto kuanzia clinic,usajili,ubatizo kama upo n.k. Pia uambatanishe copy ya judgment na acquital order kama ushahidi wako ambapo utasaidiwa na watu waliosikia maneno aliyokwambia au walioshuhudia ndoa yao kama ipo,ushauri kwa kuanzia tu kama kuna mengine ya mwongozo,marekebisho anyone can make
 
Acheni uskirt nyie kenge,jamaa kazuiya nyundo ten jela alafu mnamshauri upuuzi huo?mwanangu komaa utaratibu unajulikana jamaa atashughulikiwa huyo ,muwe mnasoma thread kwaumakini,jamaa kasema kumla huyo shetwani alimla ila ilikuwa trik ili ionekane ndio aliyempa mimba kwakuwa tayari alikuwa mjamzito,komaa kaka.
 
Nilienda jela miaka10 iliyopita kwa kosa la kumpa mimba mwanafunz.Kimsingi mimba haikuwa yang ilikuwa ya mwanaume mwingine

Kwa sababu ya binti kutaka kumhifadhi aliyempa mimba wakapanga dili ili nitajwe mim kwa kuwa niliwahi kumtongoza,ghafla nilipewa jibu na binti huyo ombi langu amelikubali hivyo nipange siku tuonane,tulikutana na nikala tunda,baada ya wiki mbili nikapandishwa kizimbani kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi,hakimu alisema una miezi 3

Baada ya mimi kufungwa binti akaolewa na jamaa aliyempa mimba.Kwa bahati nilipata msamaha wa raisi baada ya kukaa gerezani miaka 10.Niliporudi tu nilienda kumwona mtoto wangu aliyesababisha nifungwe lakini nilipewa jibu kwamba sina mtoto na mtoto ni wa mume anayeishi naye nilipomuuliza binti sababu zilizomfanya anitaje mimi akajibu alishauriwa na huyo kijana aliyemuoa kimsingi ndiyo ilikuwa mimba yake,nataka kwenda mahakamani kuomba ile miaka 10 niliyokaa mimi akakae mhusika mwenye mtoto.Je kisheria inawezekana,kwani mtoto siwezi kupata.Naomba ushauri wenu

Hii thread ifungue jukwa la sheria. Huko nina hakika utapata mawazo muafaka. Siku hizi kuna DNA kumbuka. Itabidi kwanza uwe na uhakika mtoto sio wa kwako
 
Kibongobongo binti wa shule amefananishwa na binadamu asiye na ubongo na asiyeweza kufikiri kabisa. Kwa hiyo hapo sana sana itabidi huyu jamaa na huyo mume warudi jela tena kwa kosa la kushirikiana kumrubuni binti.

Mkuu kivipi nadhani huyu jamaa alienda jela kimakosa even though he slept with a minor which but hiyo adhabu alipata ilikuwa kubwa sana. But my issue, the other guy has to pay for it too!
 
Mkuu kibongo bongo ndiyo hivyo. The guy is not off the hook just because someone else impregnated the girl. They both fall in the same basket. Of coz yeye kwa kuwa ashaenda itabidi huyo mwingine naye aende akale mvua zake
 
si wanasema dawa ya moto ni moto

cha kukusaidia fungua kesi ya madai ya kuomba ulipwe fidia ila uhakikishe una ushahidi wa kutosha,mfano majibu ya DNA,kuweka kikao cha familia ya kwako na kwao,muandike muhtasari usainiwe,uandikwe inavyotakiwa( vigezo na masharti kuzingatiwa),hii itakusaidia kupata ushahidi mzuri,ni ngumu kwako kufanikiwa ktk hili,namaanisha kisheria, nakushauri uende vituo vya sheria wakupe msaada.Ila issue ya kunyea debe huyo mume mwenzio sahau kwa sababu haitakuongezea chochote bora upewe chako uendeleze maisha ni hayo tu.
 
Mkuu kibongo bongo ndiyo hivyo. The guy is not off the hook just because someone else impregnated the girl. They both fall in the same basket. Of coz yeye kwa kuwa ashaenda itabidi huyo mwingine naye aende akale mvua zake

Damn, yani huyo jamaa angekuwa huku mbona lawyers wangekuwa wanamgombania coz yani hapo kuliwa na uhakika wa pesa ndefu sana, coz lawyer could easily sued the state and the two other guys involved. Yani sheria zetu ni inshu sana kama you are not connected and without money, you can easily rot in jail. I believe this guy lacked better representation then akapewa na state, the sure way to loose a case. But as they always say, malipo ni hapahapa, I hope they get what they deserve.
 
Huko wapi mkuu?
 
Kwanza jambo la kwanza huyo binti alikua na umri gani?
Kama ni chini ya miaka 18 ujue ulikua na kesi ya kumbaka mtoto na siyo kumpa mimba,
kwa maana kwamba hata huyo jamaa na yeye pia alitakiwa ashitakiwe,
kwa kosa la kumbaka binti wa chini ya miaka 18;
kosa hapo ni kumbaka na siyo kumpa mimba,
kumpa mimba ni jibu tu la kitendo kilichotendeka na ni kama ushahidi.
 
Back
Top Bottom