Ushauri unahitajika: Mabati ya plastic




Vipi yakishika moto yana nafuu yoyote kulinganisha na haya mengine tuliyo yazoea?
 
Mbona yako kitambo si yale meupe translucency yanaitwa sema now yameleta rang nying nying
Ngoja ntaangalia kwenye godown moja niliyaona hayo mabati ya plastiki miaka hiyo.

Yalikuwa yamewekwa mbalimbali, kwa ajili ya kuruhusu mwanga ndani ya godown!
 
Tupen muongozo Yanafaa kutumika peke yake nyumba nzima
 
Siyo plastic zote ni combustible kuna zingine hata umwagie petrol hazi support moto petrol ikiisha na moto unazima. Na hizi pia zitakuwa na tabia hiyo
ZINA PATIKANA WAPII?
 
Huu uzi tumetelekeza ila una manufaa ukilinganisha na bei ya bati ya sasa
 
Mkuu ndo hayo kwenye picha au tungoje picha yake...???
 
Hizo bati z plastic ni gharama sana sio hizo bei mnazosema eti elfu 9000 uongo huo ni zaidi ya 35000
35000? My friend nimenunua juzi, hapo Buguruni kuna kiwanda, 60,000... yana bei balaa.. Mimi nimetumia kwa ajili ya kuezekea ka kibanda ka nje ka kupumzikia wanaita pergola! Ila nusu nighaili bei yake mweeeh
Tazama screenshot iyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…