Kitimbwisi
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 155
- 72
Jamaa Yangu ameniambia mkewe amejifungua Mtoto hivi karibuni. Lakini Mtoto inaonekana ana tatizo la tumbo kuvimba eneo Kati ya kitovu na kifua, uchunguzi wa madaktari eneo alilopo umebaini kuwa misuli ya tumbo haifanyi kazi kuzuia kutuna huko kwa mfuko wa tumbo.
Ushauri walio mpa ni kwamba
1.mtoto kadri anavyokuwa misuli hio itajijenga na Ttz kuishi.
2. Akifikisha miaka miwili kama bado Ttz lipo afanyiwe surgery.
NB. ananyonya vizuri na wala haoneshi maumivu yyte katika tumbo hata ukibonyeza. Na atapata Choo kama kawaida.
OMBI.
kama kuna msaada wwte wa ushauri wa kumaliza Ttz hili haraka ktk kipindi hiki bado hajakua, tunakukaribisha.
Thnx