Ushauri unahitajika

Ushauri unahitajika

Kitimbwisi

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
155
Reaction score
72
Jamaa Yangu ameniambia mkewe amejifungua Mtoto hivi karibuni. Lakini Mtoto inaonekana ana tatizo la tumbo kuvimba eneo Kati ya kitovu na kifua, uchunguzi wa madaktari eneo alilopo umebaini kuwa misuli ya tumbo haifanyi kazi kuzuia kutuna huko kwa mfuko wa tumbo.
Ushauri walio mpa ni kwamba
1.mtoto kadri anavyokuwa misuli hio itajijenga na Ttz kuishi.
2. Akifikisha miaka miwili kama bado Ttz lipo afanyiwe surgery.

NB. ananyonya vizuri na wala haoneshi maumivu yyte katika tumbo hata ukibonyeza. Na atapata Choo kama kawaida.

OMBI.
kama kuna msaada wwte wa ushauri wa kumaliza Ttz hili haraka ktk kipindi hiki bado hajakua, tunakukaribisha.
Thnx
 
pia mtoto abebwe sana mgongoni kadri iwezekanavyo.
 
Unataka ushauri gani wa ziada wakati umeisha hitimisha mwenyewe kuwa..
1. Mtoto kadri anavyokuwa misuli hiyo itajijenga na tatizo kuisha
2. Akifikisha miaka miwili kama bado tatizo lipo afanyiwe surgery.

Unataka haraka ya kwenda wapi..? kama ndio hivyo basi kuna hiyo option ya pili mfanyie surgery saivi kabala hajakua
 
Back
Top Bottom