The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 348
- 491
Habari za jioni wakuu. Natumaini mmeitumikia vizuri wiki hii na sasa tubaelekea wikiendi..
Nina ndugu yangu tumelelewa wote tangu watoto na sasa tumekua na kujitegemea kabisa lakini ndugu yangu huyu mpka sasa bado anasumbuliwa na tatizo la Kujikojolea kitandani hivi sasa ana umri 25+ mimi kama ndugu kumuambia nahisi kama ntamshushia heshima lakini the best way i can do ni kumsaidia kulitatua maana its almost 20 years tatizo halijamtoka.
Kwa mnaofahamu ni vipi tunawezamsaidia tatizo hili likaisha kabisa??