Mwaka 2009 niliziona mashine za kusaga nafaka pale UDSM kwenye workshop ya CoET zilikuwa na efficiency kubwa above 95% ( Kwamba inapoteza unga kidogo sana kwenye cyclone yake kulinganisha na zamtaani).
Sikumbuki bei ila ilikuwa bei Imechangama (kubwa kidogo).
Jaribu kuulizia pale CoET workshop nahisi utazipata. Ila jitahidikuongeza mtaji kwani kununua mashine na kuweka umeme pesa ulio nayo inaweza ikaisha.
Mafanikio mema.