Ushauri unahitajika

Ushauri unahitajika

Lugulu

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
482
Reaction score
175
Wakuu... Nipo wilaya ya Rufiji. Nina 5milioni je, nawezafungua kiwanda cha unga wa sembe? Je, mashine bora na mzuri zinapatikana wapi. Karibun...
 
Mwaka 2009 niliziona mashine za kusaga nafaka pale UDSM kwenye workshop ya CoET zilikuwa na efficiency kubwa above 95% ( Kwamba inapoteza unga kidogo sana kwenye cyclone yake kulinganisha na zamtaani).

Sikumbuki bei ila ilikuwa bei Imechangama (kubwa kidogo).

Jaribu kuulizia pale CoET workshop nahisi utazipata. Ila jitahidikuongeza mtaji kwani kununua mashine na kuweka umeme pesa ulio nayo inaweza ikaisha.

Mafanikio mema.
 
Ahsante mkubwa...
 
Back
Top Bottom