Unaweza ikanunua gari pasipo kujua kama ni kimeo mpaka ulinganishe na alilonunua mwingine kwenye kampuni nyingne boss, u can't compare by urself boss
Wadau, habari za jumapili? Naomba mnisaidie nataka kuagiza gari Mark X, FOB $3000, year 2005 . Je nitalipa ushuru sh ngapi hapa Tanzania?
Kwa mdau yeyote anayejua,naomba kujua matatizo na uzuri wa HONDA CV-R ya 1998/1999
Mkuu kumbuka uchakavu uneongezwa toka miaka 8 mpaka 5.
| Ref No | BF329716 | Location | YOKOHAMA |
|---|---|---|---|
| Chassis # | EXZ10-0005839 | Version/Class | |
| Model Code | E-EXZ10 | Mileage | 91,535 |
| Engine Size | 1,490cc | Engine Code | 5E |
| Drive | - | Steering | Right |
| Transmiss. | Automatic | Ext. Color | Purple |
| Registration Year/month | 1997/9 | Fuel | Gasoline/Petrol |
| Manufacture Year/month | 1997/6 | Seats | 5 |
| Doors | 5 | ||
| * [Manufacture Year/month] is provided by database provider. BE FORWARD shall not be responsible for any loss, damages and troubles caused by this information. | |||
| Dimension (L×W×H) | 4.02×1.68×1.53 m | ||
| M3 | 10.333 | ||
| Weight | 1,090 kg |
wadau mi naomba mnijulishe kuhusu IST na vitz ni mtandao gani mzuri kuagizia. gharama zake za kodi zipoje na spare zake. pia ubora kwa maeneo ya dar na moro maana moro barabara nyingi vumbi. Alafu nataka kujua jinsi ya kutumia calculator hii mpya ya TRA